Waungwana tusipotezewe muda na blah blah za Bruce Lee...
Alichoandika Bold ni jambo sahihi kabisa... Kwa mnaokumbuka enzi za vita baridi mtaweza kukubaliana nami...
Vita baridi ilikuwa ni TOTAL WAR BILA kutumia silaha katika uwanja wa mapambano..... Kwahiyo Fidel kukubaliana na akina Pablo, kwa kuzingatia kuwa atanufaika kwa namna fulani ktk vita baridi iliyokuwepo, lilikuwa ni jambo LA KUWEZEKANA SANA..
Lkn pia Bold hajatamka popote ndani ya article yake, bora kabisa, kuwa Fidel alikuwa anauza wala kutumia unga!!! Uhusika wa Fidel ni kuruhusu akina Pablo kupitishia mizigo yao katika himaya ya Cuba.... Lakini aliwapa masharti mawili muhimu;
1.Pablo na wenzie WAHAKIKISHE kuwa mizigo yao haisambazwi ndani ya Cuba...
2.Walipe ushuru kwa ruhusa waliyopewa...elewa ilikuwa ni muhimu kwa Cuba kupata rasilimali fedha katika kuendeleza harakati zake. Hibyo Pablo alikuwa ni FURSA kwa Fidel.. Angekuwa mpumbavu kuiacha fursa HIYO iliyojileta...
3.Fikiria, upo vitani, anatokea mtu anakwambia anaomba umruhusu spite aende kwa adui yako akampe sumu, UTAKUBALI AU UTAKATAA????
COMRADE BOLD, PLEASE KEEP IT UP!!!!!! VIVA BOLD.