[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"..mi mwenyewe 'down town' kitambo, level za jenerali labda ye ndo mgambo.."
Brother Bold, I salute you. KEEP GOING AND GOING. ...Aluta Continua...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti atawasiliana na balozi wa Cuba [emoji23] [emoji23]
Bravo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"..mi mwenyewe 'down town' kitambo, level za jenerali labda ye ndo mgambo.."
Forward ever, backwards never!!Brother Bold, I salute you. KEEP GOING AND GOING. ...Aluta Continua...
Kwani huu wa sasa hautoshi au sio kithibitisho. Embu peleka fitisho kwa familia mkuu na sio kwa sisi wazazi wenzio. Ebo!andika uongo mwingine wa kumzushia castro na madawa ya kulevya... just do it bro....
Waungwana tusipotezewe muda na blah blah za Bruce Lee...Kwani huu wa sasa hautoshi au sio kithibitisho. Embu peleka fitisho kwa familia mkuu na sio kwa sisi wazazi wenzio. Ebo!
PAMOJA DAIMA COMRADE... KEEP MOVING.
Upo sahihi kabisa Mkuu, yaani kama mtu ajitolee aende nyumbani kwa bashite akajilipue ila hana nauli, mimi nitamkodia hata bodaboda.Waungwana tusipotezewe muda na blah blah za Bruce Lee...
Alichoandika Bold ni jambo sahihi kabisa... Kwa mnaokumbuka enzi za vita baridi mtaweza kukubaliana nami...
Vita baridi ilikuwa ni TOTAL WAR BILA kutumia silaha katika uwanja wa mapambano..... Kwahiyo Fidel kukubaliana na akina Pablo, kwa kuzingatia kuwa atanufaika kwa namna fulani ktk vita baridi iliyokuwepo, lilikuwa ni jambo LA KUWEZEKANA SANA..
Lkn pia Bold hajatamka popote ndani ya article yake, bora kabisa, kuwa Fidel alikuwa anauza wala kutumia unga!!! Uhusika wa Fidel ni kuruhusu akina Pablo kupitishia mizigo yao katika himaya ya Cuba.... Lakini aliwapa masharti mawili muhimu;
1.Pablo na wenzie WAHAKIKISHE kuwa mizigo yao haisambazwi ndani ya Cuba...
2.Walipe ushuru kwa ruhusa waliyopewa...elewa ilikuwa ni muhimu kwa Cuba kupata rasilimali fedha katika kuendeleza harakati zake. Hibyo Pablo alikuwa ni FURSA kwa Fidel.. Angekuwa mpumbavu kuiacha fursa HIYO iliyojileta...
3.Fikiria, upo vitani, anatokea mtu anakwambia anaomba umruhusu spite aende kwa adui yako akampe sumu, UTAKUBALI AU UTAKATAA????
COMRADE BOLD, PLEASE KEEP IT UP!!!!!! VIVA BOLD.
Huu hauitwi UCHUNGU, unaitwa UZEZETA.Mcuba wa bongo ana uchungu na nchi ya watu kuliko nchi yake
Nitag mkuu nikikupm sms haijiNimekutag Mkuu cheki post #2
Kuna tatizo JF la mfumo wao wa kutuma notification