Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Kwenye hii movie, ujanja woote wa Pablo, Gustavo ndio alikua mwenye akili iliyotulia.
Hata maisha yao halisi, Gustavo was the brain of the cartel. Kosa kubwa alilofanya jamaa ni kuingia kwenye siasa. Pia kuwa Modus oparendi yake ilimuathiri. He was too violent na hasa kuua polisi. Nilisoma kitabu cha wale DEA agents waliomuwinda Pablo wanasema kumtafuta jamaa haikuwa hasa sbb ya unga, bali ni hasira ya polisi wa Columbia juu ya Pablo kutokana na kuua wenzao na ndg zao-REVENGE.
 
Ikiwezekana tuunganishe na hiki kikundi bwana kuba naona Bongo hakueleweki
 
Ni Mara ya 4 Leo nairudia. Nilichokihitaji nimekipata. Baada ya kifo familia yake ilikuwaje? Nishafahamu. Ubarikiwe
 
Nimesoma yote na nika conclude kuwa Joaquon Guzman (El Chap) wa Sinaloa Cartel ya Mexico ambaye anatumikia kifungo cha maisha huko USA ni mchumba tu ukilinganisha na Pablo Escobar
 
Nini maana ya verse hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…