Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Bro wana waMUNGU sio malaika kama ulivyosema bali ni wale wabarikiwa kuna zile kabila za wabarikiwa ndo walikua wanaitwa wana wa Mungu . Malaika hana mwili inakuaje akafanya mapenzi na wanadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu mm naelewa wana wa Mungu ni malaika itanichukua muda kuelewa wana wa Mungu ni wabarikiwa.....TUSUBIRIE COMMENTS ZINGINE TUTAONGEZA MAARIFA
 
Bro kuna andiko linasema waliomkubali walifanyika kuwa wana wa Mungu " nimelisahau linatoka kitabu gani hawa wana wanaongelewa hapa ndo hao walimkubali Mungu na walikuwa hawafungamani na kuabudu miungu bahari au miungu milima
Mkuuu mm naelewa wana wa Mungu ni malaika itanichukua muda kuelewa wana wa Mungu ni wabarikiwa.....TUSUBIRIE COMMENTS ZINGINE TUTAONGEZA MAARIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaika hawezi kulala na binadamu malaika ni roho inalalaje na mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamake Yesu alipataje mimba?? Na akamzaa Yesu... Roho kisicho onekana kwa macho ya kawaida.malaika/roho
MAJINI MFANO JINI MAHABA/NI ROHO MANA HAYAONEKANI KWA MACHO YA KAWAIDA YA SISI BINADAMU EITHER UWE UNA ROHO MTAKATIFU AU UNA ROHO GIZA...
 
Interesting!

Maisha ya Pablo yalijaa ukatili na ubabe sana.

Kuna kisa kimoja kinachekesha lakini hakipendezi.

Wakati Pablo yuko kijana anasoma, walisoma na kijana mmoja jirani yao ambae baba yake alikuwa na ukwasi. Huyu tajiri alikuwa akimpeleka kijana wake shule na Gari. Kilichomkwaza Pablo ni kuwa, tajiri huyo alikuwa akiwapita pasi na kuwapa lifti, na alikuwa jirani na wakisoma darasa moja na kijana. Pablo alijenga chuki kubwa juu yake.

Miaka kadhaa baadae,akiwa tajiri tayari, Pablo aliamua kumshughulikia. Alijipa apizo kuwa, yule mzee hatoendesha gari kamwe maisha yake yote.

'Mwehu' huyu aliajiri mtu akimlipa mshahara, akampa gari na Posho ya mafuta na Posho ya ziada kila atekelezapo kazi aliyopewa.

Kazi yenyewe ilikuwa ni kuteketeza magari yote ya huyo tajiri. Kisha kila gari atakalo nunua liteketezwe kwa moto au kuliiba.

Dunia hii ina wababe.
 
Back
Top Bottom