Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

I think Ni wale KIZAZI waliozaliwa baada ya BINADAMU kuliwa na Wana wa Mungu aka malailka/WALIOASI ndo wakazaliwa Hawa kina PABLO ESCOBER
Mkuu hili la kuliwa na wana hao wa Mungu sijui kama lipo katika historia..
 
Hahaha gugo Wana wa Mungu walipowaona wana wa binadamu ni wazuri wakawaingilia wakazaaa wana watoto
Wewe JK kumbe unamanisha ile historia ya kwenye Bible...lakin ile ilikua miaka ming sana hadi huyu wa kwenye picha aishi
 
Kafa akiwa na miaka 44

Hajatumia hata robo ya hela hizo

Ameishi kama digidigi kwa miaka yote akiwa na hizo hela

What a life [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Misery life in wealth situation.

Ingetakiwa afikishe angalau 80..nije nimsikie hata kweny vyombo vya redio..ndy kama hivi nimeona picha yake..

Hlf huyu jamaa inaonekana alikua na pesa mno...yan ofisi imejaaa rubberbands za kufunga hela!!!!!
 
Back
Top Bottom