Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Aiseeeeee [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Mkuu baba afrika tafadhali hebu futa hii comment yako! Naamini unajua jinsi ya kufuta comment.. Kwanini unacopy post ndefu kiasi hiki Mkuu?? Unasababisha usumbufu mkubwa sana kiongozi kwa wanaotumia simu.. Tafadhali kuwa mstaarabu futa hii comment..
 
Hakika!
Umetimiza kile ulichokiahidi,na chenji imebaki.
Hii makala ni nzito sana,una kipawa cha ajabu.

Karibu,ubarikiwe.

Kwa lugha nyingine una maanisha amekata kiu yako?
 
The bold umetisha sana. Sikuwa hata najua kwamba Pablo Escobar alishakufa. Nilikuwa nafahamu juu juu tu kuhusu huyu mtu. Je story ya Carlos THE JACKAL unayo?
Nashukuru Mkuu!
I will look into that => Carlos the jackal
 
Hahahah! Nimejitahidi kadiri nilivyoweza kuifanya iwe fupi na hapa ndipo palipowezekana.. [emoji12]
Kuna filamu, vitabu na makala mengi kuhusu huyu mfalme wa mihadarati na wahalifu wa kimataifa km Carlos. Ilitosha kutupa mawazo yako kwa nini utujulishe ya Pablo na kuchagisha kwa mifano na nukuu chache vituko na matukio yake.

Kwangu mimi, inachosa kusoma hadithi kwenye mtandao wa kubadilishana mawazo na kujuzana.
 
Hongera msimulizi. Ukipata deal la kusimulia redioni unishtue mi nilikuwa mahiri sana kuita majina enzi ya la sita b.

Umejaliwa kipaji, kiimarishe.
 
Back
Top Bottom