Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #161
Hakika!
Umetimiza kile ulichokiahidi,na chenji imebaki.
Hii makala ni nzito sana,una kipawa cha ajabu.
Karibu,ubarikiwe.
Nashukuru Mkuu!The bold umetisha sana. Sikuwa hata najua kwamba Pablo Escobar alishakufa. Nilikuwa nafahamu juu juu tu kuhusu huyu mtu. Je story ya Carlos THE JACKAL unayo?
Naam,swadakta...sawia.Kwa lugha nyingine una maanisha amekata kiu yako?
Naam,swadakta...sawia.
Bila shaka Mkuu..Asante mkuu.
Usikose kuni-mention tena.
Shukrani
AsanteBila shaka Mkuu..
Kuna filamu, vitabu na makala mengi kuhusu huyu mfalme wa mihadarati na wahalifu wa kimataifa km Carlos. Ilitosha kutupa mawazo yako kwa nini utujulishe ya Pablo na kuchagisha kwa mifano na nukuu chache vituko na matukio yake.Hahahah! Nimejitahidi kadiri nilivyoweza kuifanya iwe fupi na hapa ndipo palipowezekana.. [emoji12]
Ukitaka uone maisha magumu hapa nchini, ujilazimishe kusoma maandishi marefu hivyoHahahaha! Duh isome mkuu..