Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Maisha ya Pablo na ulivyoandika kuna vitu vingi umejaribu kuviruka kwa kueafikiria wale wavivu wa kusoma,
Pablo katenda mengi sana na lile kundi lake na alikuwa na washiriki matata kama Candonga.Kiki.na wengineo wenye uwezo wa ajabu wa kumshangaza hata yeye mwenyewe Pablo.
Nisimalize uhondo ulioumwaga sina budi kukupa hongera sana kwa uzi huu..
Kiufupi kuna Investigate inaendelea kufanyika ya uficho wa pesa na vitu vya thamani alivyoficha Pablo kwa Bint yake kipenzi...
 
Akhsante sana kaka the bold mimi nimefanikiwa kuona NARCOS season 1&2 nikapata mwanga fulani ila hapa umezisha sana mwanga wa kumjua huyu bwana Gaviria
nimeicheki pia ila naona kama ilifupishwa sana..alafu kuna version tofauti za maisha ya huyu bw...
 
Nilitaka kushangaa kuwa nafika page ya 16 sijakutana na vichwa maji wanao-quote thread ndefu kama hii
Ila wewe umejitokeza sasa
Kwa nini usikoment kawaida bila kuqoute uzi wote
Unatusumbua tunaotumia simu
Comment yenyewe hapo hamna ulichoandika
Senge hilo linawashwa.
 
Bila shaka Mkuu nitakutag!
Nashukuru..
Na mimi usinisahau kwenye tag list yako, thread kama hizi huwa zinanibariki sana, leo nimeanza na ya Da vinci na Monalisa ndio nimeingia hii.

Niliacha kupitia jukwaa hili baada ya kunduwa limevamiwa na wavuta bangi kumbe watu wa maana bado mpo, sasa naweka kambi jukwaa la intelligence.

Watu wa kariba ya Dotto Rangimoto ndio walinifanya nianze kulipuuza hili jukwaa kumbe watu wenye ubongo ambao haujaathiriwa na Shisha bado mpo huku.
 
Back
Top Bottom