Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani!!!Nasikitika kwamba sehemu ya 10 siioni,
nimejitahidi kuitafuta toka asubuhi katika laptop
yangu lakini zinaonekana nyingine zote kasoro ya
10.. nawaombeni sana radhi tuendelee na ya 11
nakuendelea..
Sio tabia mbaya Anachangamsha damu.Ila jeff hajatulia anatabia mbaya.
HayaaSio tabia mbaya Anachangamsha damu.
na ww ulikua play boy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii story hiiii , hivi visa naona unagusa matukio adimu yaliyo wahi kutupata baadhi yetu humu ndani...
Unanikumbusha mbali sana.
Wanaume tuna siri nyingi sana,na ww ulikua play boy
ni kweli hongereni sanaWanaume tuna siri nyingi sana,
Tumeumbiwa kutamani.
Mwana nimeielewa hii,twende pamoja.Shunie naitupia mida hii, leo sitaki kuwaangusha washkaji zangu
Hahaa hii storu inagusa kote kote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii story hiiii , hivi visa naona unagusa matukio adimu yaliyo wahi kutupata baadhi yetu humu ndani...
Unanikumbusha mbali sana.
acha maneno mlete jeffJeff mtoto wa mjini, usimchukulie poa
Haaha ujue utafanya madem waniogope sasa