Play Boy (The Jeff Rider)

Play Boy (The Jeff Rider)

Nasikitika kwamba sehemu ya 10 siioni,
nimejitahidi kuitafuta toka asubuhi katika laptop
yangu lakini zinaonekana nyingine zote kasoro ya
10.. nawaombeni sana radhi tuendelee na ya 11
nakuendelea..
Jamani!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii story hiiii , hivi visa naona unagusa matukio adimu yaliyo wahi kutupata baadhi yetu humu ndani...
Unanikumbusha mbali sana.
 
Twende kazi nime subscribe kabisa huu uzi
 
We bwana wewe nimependa tu lugha iliyotumika ya kisela sela
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii story hiiii , hivi visa naona unagusa matukio adimu yaliyo wahi kutupata baadhi yetu humu ndani...
Unanikumbusha mbali sana.
na ww ulikua play boy
 
Hahaa hii storu inagusa kote kote
 
Back
Top Bottom