STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
- Thread starter
- #121
"uhhf..! uhhf..! uhhf.."
jacky mpenzi.."
nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa kwa
nilichokuwa nakiota kwani nilitoka hapo fasta fasta
nakusachi pesa mifukoni mwa suruali yangu
niliokuwa nimeitundika nyuma ya mlango, "..yees, nimeziona"
nilijisemea kimoyomoyo huku nikimwacha jaky
akinishangaa kwa ninachokifanya.
"jeff vipi mbona sikuelewi elewi..?"
"hapana jacky ngoja kwanza.."
nilimjibu nakuelekea mapokezi kuhakikisha kama kweli na godoro langu lipo au la..
"..kumbe na mi mjinga enh.."
nilijisemea peke yang huku nikijirudia zangu ndani
nakujua kumbe vile vyote vilivyonitokea usiku eti
mpaka na sex na michelle sura mbaya huku
nikimwacha jacky wangu akigalagala chini. Nilifika zangu chumbani nakujiandaa fasta tayari
kwa kwenda kwa madalali kushughlikia inshu ya
chumba..
~ NDANI YA GETTO JIPYA ~ Hatimaye tukafanikiwa kupata chumba maeneo ya
palepale magomeni.
"..sasa hapa jeff tumebakiza vitu vichache tu.."
"yap baby wangu lakini inanibidi niende tena k/
koo kumalizia vitu vilivyobakia.."
niliondoka zangu nakumwacha jacky akiendelea kupangapanga vitu pale ndani lakini nilipofika
kituoni tu,
"jeff mpenzi whre to..?"
"am.. mhh.. mhh.. helleiner mambo..?"
"safi., huku unaenda wapi jamani tangu jana siku
nzima nakutafuta kwenye simu hupatikani na hapa unaponiona nimetoka pale kwenu tulipokuja siku
ile sikumkuta mtu.."
moyo wa huruma ulianza kunitawala huku aibu
kubwa ikinishika nakuendelea kumwangalia
heleiner akilalamika.,
"helleiner sory pale nilishahama kwa sasa.." "kwa sasa nini? Kwanini hukuniambia jef kwanini?
Umeanza usiri wako enh'"
"tuliza jazba mpenz nikwambie basi.."
"haya endelea.."
kidume mimi nilijikuta ujari nikiuweka pembeni
huku nikimwambia kila kitu "heleiner, ujue nakupenda tena sana mpenz
wangu, uko tayari nikwambie kitu.?"
"yap jeff niambie.."
"pale, siyo kwetu halisi.."
"..kwanani sasa..?"
"pale ni kwa rafiki yangu tu ambaye wazaz wake wapo kenya.."
"jeff..! jeff..! sasa kwenu wapi..? Na kwanini uliamua
kunidanganya jeff..?"
"..najua nimetenda kosa ila nahitaji kusamehewa ili
nikwambie nakingine.."
"..nimekusamehe kwa moyo mmoja., haya embu niambie kingine ni nini jeff..?"
"..i have another girlfriend.."
"..which one jeff..? More than me..? Jeff are you
seriaz for what your talking..?"
"yes i am.."
"..jeff..? your going to kill me., Ohh my God..! why me.! why me..!"
nilikuwa nimeshaharibu japo haikuwa na jinsi zaidi
ya kumuweka wazi helleiner, angekuja kujua
baadaye angeumia sana bora nilivyomwambia
mapema.,
"jeff yuko wapi huyo mwanamke nimjue.?" "nipo naishi naye pale twende.."
tayari nilikuwa na moyo wa chuma hivyo
nikamchukuwa mkono helleiner mpaka getto
nilipopanga,
"..jacky sorry., kuna mgeni nimempata
amenirudisha aje akusalimie., helleiner karibu.." "jeff inamaana na hiyo mimba ni yako.?"
"..si nakuuliza wewe jeff..? Hiyo mimba ni yako..?"
"am.. mhh.. mhh.. ni story ndefu nitakusimulia tu
usijali.."
"story..? Story we Andy Ryn..? Jeff acha kunichefua
pliz.. pliz.." muda wote ambao helleiner alikuwa akilalamika
jacky alikuwa kimya mara akaanza kuongea,
"..samahani dada mbona umekuja kwa ukali
namna hvyo..?"
"..Sshhh..!! tena nyamaza.., unajua nimetoka wapi
na jeff..? Unajua vitu vingapi nimefanya naye..?" kidume mimi ushupavu na ujasiri nikaviweka
kando huku nikibaki mithili ya mume bwege tena
yule aliyemwimba bushoke..
Mzozo ulikuwa mkubwa sana mpaka nikahisi
ngumi zinaweza kutokea kati ya helleiner na jacky
kwani kila mmoja alijifanya yuko juu. "..jeff hivi unajua umenisaliti mara ngapi
nimekuacha sijafanya lolote.."
"..helleiner mbona hutaki kunielewa..? Mi kwa sasa
nipo na huyu sihitaji mwanamke yeyote pliz.."
"nini jeff..? Umempa mimba mfanyakazi wetu
michelle na tumembana akasema ni mimba yako na ulimpa siku ile ya beach tulivyoenda.."
kabla hajamalizia kuongea nilijihisi kama mkojo
unanichuruzika ukiambatana na kijasho
chembamba huku macho nikiyakaza haswa
haswa..,
"..michelle..? Michelle gani huyo..? Kwanza mi simjui huyo mfanyakazi wenu.."
ilinibidi niue soo pale pale ili jacky asielewe
chochote lakini kabla helleiner hajaendelea
kuongea kitu tulishangaa jacky akigalagala pale
chini mithili ya mtu anayeugua kifafa,
"jacky..? jacky my love..?" ghafla akawa kimya, nikamgusa mapigo yake ya
moyo yalikuwa yakienda kasi,
"..helleiner pliz tusaidiane tumuwaishe hospitali.."
"..usaidiane na nani..? Ulivyompa mimba
ulinishirikisha..?"
niliumia sana lakini haikuwa na jinsi nikambeba peke yangu mpaka nje nikampakiza kwenye tax
huku nikimwacha helleiner chumbani..,
nikaingia kwenye tax lakini kabla gari haijaondoka
nilisahau simu yangu chumbani ikabidi niirudie ile
nafika tu chumbani..,
"noo helleiner..!! pliz..!! pliz..!! <<< Inaendelea..