Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ukorofi wa China ni upi?nyiny mnaangalia mambo kwa juu juu ila kiundan kuna mengine hamyajui , China ni mkorofi sana , msiofuatilia ni ngumu kuelewa , karibu majiran zake wote wamemtenga kisa ubabe wake
Uchawa wa Japan kwa Marekani ulianza baada ya kupigwa mabomu ya atomic Hiroshima na Nagasakisi kwel China ilipaswa kuwa superpower tangu zaman sema jamii yao ilikuwa haijamka kwa japan ni ngumu sana kuja kutawala dunia maana hana factors strong za kuliteka dunia , China ina wasomi na soko kubwa pia , hapo awali haikuwa na wasomi ila japan ina wasomi ia haikuwa na market ya kuivutia dunia , hivyo ilimpasa kuwa chawa wa USA ambae alikuwa kateka akili za wengi duniani
Hali mojawapo ya ujamaa ni viongozi wa kisiasa kukataa kujitambulisha kuwa wanafanya biashara gani na kwa mwaka biasahara yake hiyo imelipa kodi kiasi gani...Ujamaa ukoje kwenye nchi yetu?
Hao jamaa wako vizuri sana, sasa hivi kwenye soko la EV wanachuana na TeslaWapo vizuri BYD.
Nitafute pesa nije ninunue EV kama nitaweza😀
Sawa. Kwa hiyo tunatumia mfumo gani kwenye uongozi?Hali mojawapo ya ujamaa ni viongozi wa kisiasa kukataa kujitambulisha kuwa wanafanya biashara gani na kwa mwaka biasahara yake hiyo imelipa kodi kiasi gani...
Hivi, unadhani Waziri mkuu wetu hana biashara anazofanya? Kwanini zinafichwa? Sababu ni kuwa wananchi wanarubuniwa kuwa wapiga kura wataanza kuona kuwa kuongozi wao anawaibia ndiyo maana anafanya biashara moja mbili.
Pia, suala la kutokuingiliwa kwa ndugu zetu wakusanya kodi kwani biashara ya wanasiasa wetu zitatajwa kwenye kundi la wakwepa kodi hivyo watajiona wanasaliti maubiri yao kwenye makukwaa.
Wajamaa wa nchi yetu wanapenda sana kujificha kwenye uzalendo...
Mabepari kama akina Trump walisema anafanya biashara 1,2,3 n.k ukipenda umchague au usimchague.
Yaah magari mazuri nimepitia kuyaona jambo la muhimu ni kutafuta pesa kwa nguvu na akili zote.Hao jamaa wako vizuri sana, sasa hivi kwenye soko la EV wanachuana na Tesla
Kuna ile BYD YANGWANG naikubali sana ile chuma
Au FAW HONGQI iwe suv au sedan zote kali
Hauwez kuwa memba wa CPC mpaka ufaulu vigezo vyao vya nadharia na vitendo jamaa hawatak memba mzigoCPC ina members makini sana mpaka waamue kumpitisha Xi Jinping kuwa president for life kuna kitu walikiona kwa huyu mwamba
Wamekubali kukabidhi ulinzi wao kwa Marekani.Mataifa ya Ulaya, Japan na South Korea inapoKuja suala la geopolitical na uchumi wanapenda sana kusimamia sera za Marekani, hawajiamini kabisa. Wataishia kuwa nyuma ya Marekani miaka yote
Kabisa mkuuWamekubali kukabidhi ulinzi wao kwa Marekani.
Muhimu hilo mkuu 😀Yaah magari mazuri nimepitia kuyaona jambo la muhimu ni kutafuta pesa kwa nguvu na akili zote.
EV lazima ni drive😀
Umesema vyema CPC ndiyo chama makini duniani ila wenye jicho la Demokrasia ya West hawataelewaHauwez kuwa memba wa CPC mpaka ufaulu vigezo vyao vya nadharia na vitendo jamaa hawatak memba mzigo
Na hii mikopo isiyo ya kibiashara, ccm oyeeeNa inazidi kuongezeka kila mwaka
KabisaMuhimu hilo mkuu 😀
Sidhani kama wanashindwa kujilinda dhidi ya north. Shida ni nuclear.Hawajiamini kabisa kama S.K kiteknolojia yuko juu zaidi ya N.K lakini anshindwa kujilinda mwenyewe
Nimeona Japan sasa hivi anaongeza hata bajeti ya ulinzi na kutengeneza baadhi ya silaha lakini bado ni asslicker wa USA
Kila kikwazo wamekishindaUko sahihi
Hii vita ngumu sana ila China kamdindia Marekani
Hii vita viongozi waliopita wa China sijui kama wangeiweza kama Hu Jintao na Jiang Zemin
Xi Jinping ni mwamba sana aisee Trump na Biden naamini wanakiri China chini ya Xi imeimarika sana
Xi kaja wakati China inamhitaji kiongozi wa kaliba yake ndio maana CPC wamempa uraisi wa kudumu
Biden anaishia kumuita dictator halafu mwamba hata hamjibu