PLAZA ACCORD-Mkataba uliotumiwa na Marekani kuishusha Japan kiuchumi miaka ya 1980

PLAZA ACCORD-Mkataba uliotumiwa na Marekani kuishusha Japan kiuchumi miaka ya 1980

Kila kikwazo wamekishinda
China imewadhalilisha kwenye chips baada ya simu ya huawei kutoka na tech ya ndani.
Yani wamevurugwa balaa.
China now ni unstoppable na hivi vikwazo vinazidi kumjenga sana
Huawei mate 60 inafanya vizuri sana sokoni inatumia chip 7nm iliyotengenezwa na China based company
 
Back
Top Bottom