bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Owky Da Womanizer nina imani ujumbe huu tumeupata na tutaufanyia kazi. Hii ninaihesabu kama moja ya vitu ambavyo pengine wanawake wengi tumekuwa na mtizamo tofauti na wanaume. Na bahati mbaya sana (kwa wale tulioko ndani ya ndoa) mume anapoanza kukusema kwa ajili ya kumsumbua na simu zako huwa tunakimbilia kuquestion why ananizuia, kuna mabaya gani anafanya, mbona anajihami au kwani mi si ni mkewe nina haki ya kumpigia na kumwulize yuko wapi so asinipangie............na hapo ndipo ushindani unapoanza na kusababisha mengine.
Binafsi, mimi kama bacha,
sipendi mwanamke wa visasi,
eti umemwaga ugali, yeye atamwaga mboga lol...inahu............
KWA UJUMLA VISASI SIVIPENDI ASILANI!!!!!!!!!!!!!