Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
kwa hyo Bwana amekushakupa mchumbaPlease understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry
Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Hebu kunywa maji kwanza ya baridiPlease understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry
Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Hakuna walaaa nimeamua tuEmbu kunywa maji kwanza..Kisha utuelezee kwa uzuri
Watu washapiga tukio 🙄🙄🙄Embu kunywa maji kwanza..Kisha utuelezee kwa uzuri
Wala hata sina shida yeyote. Nipo sawa tuHebu kunywa maji kwanza ya baridi
Mwee wewe hawa wa jf ndio hao hao wa mtaani......wewe mume utoka kwa bwana kwa wale wanawake bikra tuu. Wee kama sio bikra tulizana na sie magubegube tuu🤣🤣🤣🤣Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry
Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Atakuwa hana tako🤣🤣🤣🤣Tuma picha kwanza tuone kama yaliyomo yamo kweli?
Sijawahi pigwa tukio lolote nipo sawa tu natena na enjoy wewe upo Arusha uje unione ninavyosherekea hapaWatu washapiga tukio 🙄🙄🙄
Weeeh nipe kweli kama itarudiKwahiyo hela yangu utarudisha ama???
Hakuna,shosti nikuchoka tuRelaaaaax..... hebu tuambie umepatwa na nini?
Ila hao wa mtaani unawaona best unafanya maamuzi sahihi.Mwee wewe hawa wa jf ndio hao hao wa mtaani......wewe mume utoka kwa bwana kwa wale wanawake bikra tuu. Wee kama sio bikra tulizana na sie magubegube tuu🤣🤣🤣🤣
Unafikiri kupigwa tukio kwangu ni rahisi sijachoka maisha kihivyoo.Dada kulikoni tena au wahuni washapiga tukio
OkeyMaumivu yakizidi kamuone daktari [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2185375