Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

Hv ni nani anaweza kupenda mtu hamuoni,acha kujipa ma sifa ambayo hayana maana,yaani tuache kuzisumbua pisi kali tunazoziona laivu tuje tukusumbue ww na hatujui sura yako.
 
Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry

Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.

Wahuni washakula tunda kimasihara[emoji851][emoji851]
 
Ushapigwa na kitu kizito??

Usikute hakuna aliekufata pm, unatafuta attention tu
 
Back
Top Bottom