Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry

Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Hebu njoo pm mrembo tuyajenge kiutu uzima. Si unamuona mwenzako Doreen anavyo faidi mapenzi motomoto kutoka kwa mzee wa Kiraracha?
 
Hebu njoo pm mrembo tuyajenge kiutu uzima. Si unamuona mwenzako Doreen anavyo faidi mapenzi motomoto kutoka kwa mzee wa Kiraracha?
Shida wengi wapo Mbali mnaachart halafu mwisho wa siku mtu yupo dodoma anakuchora tu.
Mwingine yupo Dar anakuchora tu.
Unaona ni bora uanze mahusiano kwa mtu aliye serious na wakaribu .
 
Shida wengi wapo Mbali mnaachart halafu mwisho wa siku mtu yupo dodoma anakuchora tu.
Mwingine yupo Dar anakuchora tu.
Unaona ni bora uanze mahusiano kwa mtu aliye serious na wakaribu .
Mimi ukiniambia hata kesho nakuja tu huko uliko! Hata kama ni Tandahimba!

Maana nataka na mimi kabla ya mwaka huu kuisha nivute jiko kama rafiki yangu Lyatonga. Uzee na upweke vinanitesa sana mama.
 
Si ndo huyu,, aliyesema sio yeye anayetafuta mchumba,, ila ni mdogo wake sjui rafiki yake ndo anamtafutia
 
Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry

Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Mimi nimetoka kwa bwana hakyanani tens achana na hawa matapeli tafadhali jibu pm yangu. Usiku kucha silali kwa ajili yako.
 
Hv ni nani anaweza kupenda mtu hamuoni,acha kujipa ma sifa ambayo hayana maana,yaani tuache kuzisumbua pisi kali tunazoziona laivu tuje tukusumbue ww na hatujui sura yako.
Love is blind 🤍
 
Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry

Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Huku jf WENGI wao washaoa ka unatafuta huku may be uombe uwe mke wa pili

Jf kuna watu wazuri sana …. nimepata a friend huku a very good friend yaan 😍😍😍😍

Pia kama mwanamke inashauriwa usubiri UTONGOZWE na wewe UTONGOZEE
 
Mwee wewe hawa wa jf ndio hao hao wa mtaani......wewe mume utoka kwa bwana kwa wale wanawake bikra tuu. Wee kama sio bikra tulizana na sie magubegube tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo ugonjwa matibabu yake yakoje [emoji848]
Wanasaikolojia inabidi wapambane sana kwa therapies za kila aina...na nadhani kuna vidonge pia japo sina uhakika sana.

Mfano mzuri unaotumiwa sana siku hizi ni wa Donald Trump...na mleta mada anafiti vizuri kabisa yaani! [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom