Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa.
Jamaa ametulia anaongea fact na reference, jamaaa ana akili sana, vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence, anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo[emoji23][emoji23], anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid, anatoa explanation baadala ya evidence, [emoji23][emoji23]uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba.
Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa[emoji23] be straight and comfidently kama lumumba.
Yaani hata kama usiwe mbwa, lakini ukiwa jamii ya Paka utaendelea kuwatetea jamii yenzako mpaka mwisho.
Sikutegemea hata kidogo mtu aliyetoka Kenya kuja kusoma Dsm aiponde Tz.
Lakini kuthibithisha kuwa anawapaka Mafuta kwa mgongo wa chupa hao CCM, basi wamshauri aombe uraia wa Tz ili aje ayafurahie hayo maisha tuone km atakubali.
Eti wanasema maisha bila unafiki hayaendi, sijui wana maanisha nini!
We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa...
Jamaa ametulia anaongea fact na reference , jamaaa ana akili sana , vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence , anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo[emoji23][emoji23] , anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid ,, anatoa explanation baadala ya evidence , [emoji23][emoji23]uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba..
Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa[emoji23] be straight and comfidently kama lumumba .....