Ngao Ya Imani
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 171
- 509
Professor apambane na mambo ya kwao huko aachane na Tanzania na Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemsikiliza kweli plo?Mabaya yapi na mazuri yapi? Acheni kuangalia shilingi upande mmoja.
Unamuuliza nani?Umemsikiliza kweli plo ?
Ila mtu aliyezaliwa Tanzania na kusoma UDSM anahaji ya kuidhalilisha Tanzania? Heri ya wehu kuliko kuwa mwanaharakati- wewe na bwana yule ni wanaharakati na hatari kwa ustawi wetuYaani hata kama usiwe mbwa, lakini ukiwa jamii ya Paka utaendelea kuwatetea jamii yenzako mpaka mwisho.
Sikutegemea hata kidogo mtu aliyetoka Kenya kuja kusoma Dsm aiponde Tz.
Lakini kuthibithisha kuwa anawapaka Mafuta kwa mgongo wa chupa hao CCM, basi wamshauri aombe uraia wa Tz ili aje ayafurahie hayo maisha tuone km atakubali.
Eti wanasema maisha bila unafiki hayaendi, sijui wana maanisha nini!
Professor asiye na aibuHuyo mzee hana tofauti na Msukuma.au Gwajima
Mkuu kama wewe ni kidume na unaandika KO pole sana. Fanya tu kampeni ya kubring back marinda yako [emoji3][emoji3][emoji3]We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa...
Jamaa ametulia anaongea fact na reference , jamaaa ana akili sana , vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence , anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo[emoji23][emoji23] , anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid ,, anatoa explanation baadala ya evidence , [emoji23][emoji23]uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba..
Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa[emoji23] be straight and comfidently kama lumumba .....
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Halafu hapo juu limeandika Ko kama mtoto wa kike.Mtoto wa kiume maemoji ya kucheka kibao.
Ukiangalia maisha ya miaka 1960 waqkati tunapata Uhuru na Maisha ya sasa hivi utaona Maisha yameboreka sana na huduma za jamii zimeongezeka kwa wananchi. Shule zimeongezeka , Afya, Maji na Mawasiliano Mfano Barabara. Kwa hiyo Maendeleo yanaenda hayaendi haraka kama watu 2wanavyofikiria kama tu ule msemo unaosema Roma haikujengwa kwa siku moja✔✔✔✔💯%
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!odata
Prof. Lumumba amezungumza kwa facts na data . Wewe unazungumza kwa chuki ndio maana huoni hatua iliyopigwa. Kwanza hapa duniani hakuna nchi iliyoondoa umaskini kabisa ila umaskini unapunguzwa. Ukitaka kujua kama umaskini unapungua au la angalia data toka source mbalimbali kama World bank au NBS. Umaskini unapimwa kama vitu vingine vinavyopimwa na vipimo hivyo hivyo ndivyo vinavyoonyesha kuwa umaskini umepungua sana. Sio lazima utumie data za ndani ya nchi unaweza kutumia data toka vyanzo vya nje vinavyofanya jukumu hilo hilo la kupima umaskini. Unadai umaskini umekuwa mkubwa ungeonyesha kwa data wakati Magufuli anaingia madarakani hali ya umaskini ilikuwaje na sasa ikoje. Mabishano ya hoja za kiuchumi ni tofauti na mabishano ya simba ma yanga. Katika uchumi tunatumia data.Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
Udhaifu pekee alioongolea, tena baada ya kuulizwa ni ule wa jinsi Jiwe alivyoignore science na kufata traditional approach kwenye covid 19.Kama umesikiliza mjadala wote,huwezi andika kwa kuquote katikati,hizo ni chuki.
Ungeweka maelezo yake yote.mbona kataja madhaifu na mazuri
Hivi Lumumba ni mzima kweli ?Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
Huyu sio Mtanzania lakini angalau anajua mambo mengi tu ya Tanzania, lakini watanzania tulivyo wabishi hatuwezi kuamini kwa sababu kasifiwa mtu aliyekuwa CCM. Maisha mazuri yatakuja chapa kazi acha malalamiko yako unataka Rais aje akupe mtaji wa biashara?Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
Achana na huyu kichaaNimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.