PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Acha ujuaji mara ngapi Plo ameenda kinyume na Magufuli, fuatilia mitazamo yake kuhusu korona
Alichosema ndio ukweli, penye ukweli husema

..Nilijua Prof atamsifia Jpm.

..lakini nadhani leo amepitiliza ktk kusifia.
 
Mi naona sawa tu! Magufuli kaanza kujenga chato tangia akiwa Waziri aliweka taa za barabarani, akajenga shule, n.k magufuli alipapenda pia Chato hakutaka kutia huruma Kama Nyerere.

Na usipojipenda wewe!? utampendaje jirani? Magufuli alifanya vizuri kupapenda kwao.
 
Kule hakukuwahi kutoka Rais wametoka watu wa pwani ambao maendeleo kwao hawayapi kipaumbele. Magufuli tangia Waziri kaweka barabara, umeme, maji Hadi Taa za barabarani pale Chato.
 
Tundu Lissu Ni mwehu Kama wehu wengine ambao walitaka kukaa upande wa mabeberu kutuhujumu kwenye madini. Magufuli alikuwa hataki wahaini alikuwa anatandika Shaba wote.
 
Pale POLISI walifeli saana. Ilitakia mission iishe mapema tu.
 


Handeni wana hospitali ya wilaya tayari



Miradi ya maji mikubwa miwili Handeni chini ya Magufuli.



Jengo jipya la halmashauri ya Handeni gharama zake 3.5 billion

Juzi tu mama Samia alikuwa huko kufungua kiwanda kilichojengwa kando ya barabara na kuna chuo cha VETA kinajengwa, shule zimejengwa, madarasa yameongezwa, etc.

Watanzania amna shukran tu Magufuli kawaangaikia sana mijini na vijijini.
 
nilisema Mimi hapa.
Kuwa LISU APUNGUZE MDOMO.
kitendo alichofanyia ni kibaya Sana na wengi hatujakipenda.
Ola anapoendelea kuongea ANATUFANYA TUAMINI KUWA ALISTAHILI KUPIGWA ZILE RISASI.
 
Kwa zile risasi na kupotea kwa watu ulitegemea wawe marafiki? Dunia inaelewa maovu yote yaliyofanywa. Sasa hivi sijui mtamlamba nani matk
 
Nazungumzia Upendeleo wa kupeleka kila kitu chato.
Ina màana Dodoma ni chato napo? Kunakojengwa bwawa la umeme ni chato? Ina maana kama chatO kulihitaji maboresho ya huduma asingepeleka sababu kuna watu mtatumia hilo kama mtaji wa kisiasa kumchafua. Chademans are silly bastards
 
Labda zile risasi 16 zimesababisha awe na chuki, waza ingekuwa wewe ndio umepigwa risasi zote zile kwa mazingira kama yale ungekuwaje? No matibabu no ubunge
 
Tundu lissu kachezea upper-cuts za hoja hahaa!!
Hoja ipi sasa? Huyo professor majalala kwa lisu mtoto tu. Huko kenya tu lenyewe linashindwa mikesi midogo modogo ya aibu.
 
Umeumia sana,hata kwa picha za video tu hizo "narratives" kuhusu Chato ni uongo unaokuzwa
 
Punguzeni chuki inawaumiza nyie wenyewe,mnaemchukia hayupo tena.
Nawaona mnavyoumia kuona lisu bado anapumua halafu mwendazake ndio kashaenda, kazi ya Mungu siku zote haina makosa mzee, Allah anajua kuliko sisi ndio maana kamchukua mliyetaka abaki na kumuacha mliyetaka aende, najua imekuuma usijali kunywa maji utapoa
 
Mkuu Ngongo hapo juu amezungumzia hospital ya Rufaa na si hospital ya Wilaya, hata hiyo hospital ya Wilaya iliyopo ipo jina tu ila kiukweli hata x ray Machine hakuna, hospitali ni kuukuu na chakavu kiasi hata ukarabati wa kawaida umeshindikana, na ukizingatia ndio hospital tegemeo kwa Wilaya zote mbili za Handeni na Kilindi.

Kuhusu hilo la Chuo cha Veta sijui umekitoa wapi kimsingi hakipo na hakuna ujenzi wa Chuo kama hicho au kinajengwa eneo gani hasa?
Hiyo Miradi mikubwa ya Maji inayozungumzwa ilishashindwa kufanya kazi kabla hata haijamalizika, yani kimsingi shida ya Maji ipo pale pale..,
Na kwa kukusaidia unaweza pitia taarifa ya CAG ya mwaka wa Fedha 2018/19 kuhusu hiyo Miradi then uone uhalisia wa unachokitetea!

Kuhusu Jengo jipya la Halmashauri ya Wilaya ilikuwa ni lazima kujengwa kutokana na malekezo yaliyotolewa kwa Halmashauri za Wilaya zote zilizoelekezwa zihamishie Makao yao Vijijini.
 
Haya yote kwasababu amemshinda Tindu Lisu kwa Hoja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…