Acha ujuaji mara ngapi Plo ameenda kinyume na Magufuli, fuatilia mitazamo yake kuhusu korona
Alichosema ndio ukweli, penye ukweli husema
..Nilijua Prof atamsifia Jpm.
..lakini nadhani leo amepitiliza ktk kusifia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujuaji mara ngapi Plo ameenda kinyume na Magufuli, fuatilia mitazamo yake kuhusu korona
Alichosema ndio ukweli, penye ukweli husema
Mi naona sawa tu! Magufuli kaanza kujenga chato tangia akiwa Waziri aliweka taa za barabarani, akajenga shule, n.k magufuli alipapenda pia Chato hakutaka kutia huruma Kama Nyerere.PLO Lumumba hawezi kuwa msemaji wa Watanzania. Kama yeye ni muumini wa Sera za magufuli,itoshe kusema wenye nchi hatujawahi kuridhika naye.
Chato kaipendelea kwa vingi sana ndani ya miaka 5 tu ya udikteta wake; kajenga Airport, kaweka mataa ya barabarani, kajenga hospitali ya kanda, kajenga jengo kubwa la PCCB, kaweka CRDB, kajenga shule ya msinhi ya gorofa aliposomea, alikua anataka kajenga chato stadium, kaanzisha mbuga za burigi na kusafirisha wanyama, na mengine mengi sana ikiwemo kuanzisha mchakato wa kujipa mkoa wa chato.
Haya hayakuonekana ktk wilaya zingine. Amejipakulia sana minyama huyu baba mpaka kamuudhi Mungu akaamua amchukue tu kiumbe wake asiendelee kuwanyonya damu wengine.
Kule hakukuwahi kutoka Rais wametoka watu wa pwani ambao maendeleo kwao hawayapi kipaumbele. Magufuli tangia Waziri kaweka barabara, umeme, maji Hadi Taa za barabarani pale Chato.Niulize Wilaya ya Handeni nitakujibu.Kifupi sana hakuna mradi wa maji,hakuna airport,hakuna Chuo cha VETA,Hakuna hifadhi ya wanyama,hakuna jengo jipya la mahakama,hakuna jengo jipya la CRDB,Hakuna Hospital ya rufaa na utie hakuna si kama huyo Prof mjinga Wilaya ya Handeni ni kongwe kuliko Chato kwa zaidi ya miaka 30.
Pale POLISI walifeli saana. Ilitakia mission iishe mapema tu.Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
Niulize Wilaya ya Handeni nitakujibu.Kifupi sana hakuna mradi wa maji,hakuna airport,hakuna Chuo cha VETA,Hakuna hifadhi ya wanyama,hakuna jengo jipya la mahakama,hakuna jengo jipya la CRDB,Hakuna Hospital ya rufaa na utie hakuna si kama huyo Prof mjinga Wilaya ya Handeni ni kongwe kuliko Chato kwa zaidi ya miaka 30.
😁😁😁😁😁😁😁Unamalizia uzi wako kwa "maendeleo hayana chama" halafu unaleta habari ya Chadema. Bwashee vipi? Mbege ya leo kali eeh!!
Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Kwa zile risasi na kupotea kwa watu ulitegemea wawe marafiki? Dunia inaelewa maovu yote yaliyofanywa. Sasa hivi sijui mtamlamba nani matkNimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Ina màana Dodoma ni chato napo? Kunakojengwa bwawa la umeme ni chato? Ina maana kama chatO kulihitaji maboresho ya huduma asingepeleka sababu kuna watu mtatumia hilo kama mtaji wa kisiasa kumchafua. Chademans are silly bastardsNazungumzia Upendeleo wa kupeleka kila kitu chato.
Labda zile risasi 16 zimesababisha awe na chuki, waza ingekuwa wewe ndio umepigwa risasi zote zile kwa mazingira kama yale ungekuwaje? No matibabu no ubungeNimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Wilaya gani haina hospital bwashee?Uwanja wa ndege kila wilaya upo!
Hoja ipi sasa? Huyo professor majalala kwa lisu mtoto tu. Huko kenya tu lenyewe linashindwa mikesi midogo modogo ya aibu.Tundu lissu kachezea upper-cuts za hoja hahaa!!
Lumumba hana mabadiliko yoyote aliyowahi kuchangia katika uchumi wake na uchumi wa Afrika licha Dunia, ukimsikiliza unachokiona ni maneno yakiingereza yaliyopakwa Nakshi. Mazingira ya Chato miaka mitano Leo hii kwa msomi mzalendo anaweza kutetea kilichofanyika? Lakini najiuliza lini alifika chato? Kwa ninavyomfahamu hakuna alipokanyaga bila media kuwa nyuma yake maana si kwa mbwembwe hizo.
Mfuatilie Lumumba kwenye uchaguzi wa Kenya uliopita utajua who his Lumumba
Hii ni kwa maoni yakoProf Lumumba kammaliza kabisa wakili msomi Tundu Lisu!
Nawaona mnavyoumia kuona lisu bado anapumua halafu mwendazake ndio kashaenda, kazi ya Mungu siku zote haina makosa mzee, Allah anajua kuliko sisi ndio maana kamchukua mliyetaka abaki na kumuacha mliyetaka aende, najua imekuuma usijali kunywa maji utapoaPunguzeni chuki inawaumiza nyie wenyewe,mnaemchukia hayupo tena.
Siku hizi hata kumsoma johnthebaptist naona ni kero tuu maana yapo makosa ya kiuandishi yanayo toa picha kua ni wa aina gani katika zile low level za propagandaShaka Ssali na siyo Shaka Zullu na Tundu Lissu na siyo Tindu Lissu.
Haya yote kwasababu amemshinda Tindu Lisu kwa Hoja [emoji23][emoji23][emoji23]PLO ni mweupe Labda kwa nyie msiofuatilia masuala ya nje ya TZ.
Alipewa kuongoza Kitengo cha PCCB ya Kenya akaharibu vibaya CV yake ikaishia hapo ndio maana hawezi kugombea hata u MCA huko kwake.
Anawachanganya mazuzu na vocabulary za kumeza lakini utendaji F