Mkuu hata wewe ukiwa Rais utajenga hoteli hizo hizo zenye Nyota. Ukiwa Rais lazima utapendelea kwenu na utafanya maendeleo mengine. Mimi sishangai mtu kupendelea kwao. Angalia amefanyia nini Taifa lake. Tukianza kufufua makaburi hata wewe utapatikana na makosa au utakuwa unaliibia taifa[emoji3][emoji23] eidha kwa kuttolipa kodi au mambo mengine.Kwa wenye akili FINYU tu kama wewe Bwashee. Huyo mpuuzi alidhani kufika chato ndiyo atathibitisha utajiri au umaskini wa dikteta!? Mpuuzi kweli huyo Lumumba. Hajui chochote kuhusu kampuni yake ya Mayanga ambayo jiwe kaipa miradi mingi sana ya Serikali kinyemela tangu awamu ya tatu, hajui chochote kuhusu bank accounts zake ndani ya nchi na si ajabu nje ya nchi, hajui lolote kuhusu hotel yake kule chato inayodaiwa ni 4 Star hotel ambayo sasa itakuwa gofu tu kwani hakuna tena wageni wa kulipiwa na Serikali kwenye hiyo hotel ambao jiwe alikuwa akilazimisha kiaina waende chato ili hotel yake ipate wateja.
Kabla hawajaanza majadiliano ya moja kwa moja hamkuleta hoja hizi. Ila baada ya Lisu kuburuzwa kwa hoja ndiyo mnakuja na hizi vioja vyenu. Je Tundu Lisu angemzidi kwa hoja mgekuja na hizi vioja?Kuna mtu anafikiria kwa nini Legency ya Magufuli inajadiliwa na Kutetewa na ambaye huko Kwao Kenya kwa sasa anadharauliwa?
Hawa VOA watakuwa wamefikiri nini hasa kutafuta mtetezi wa Marehemu failure(jiwe) kutoka kwa failure anayeishi(Lumumba)?
Kweli msemo "wacha wafu wazike wafu wao" unamaana nzito sana.
Kwako mwalimu Mshana Jr , hiyo waliyocheza VOA tunaitaje katika soka la siasa?
Kabla hawajaanza majadiliano ya moja kwa moja hamkuleta hoja hizi. Ila baada ya Lisu kuburuzwa kwa hoja ndiyo mnakuja na hizi vioja vyenu. Je Tundu Lisu angemzidi kwa hoja mgekuja na hizi vioja?
Kwa hiyo kumbe ni hasira za risasi na siyo hoja za msingi?Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Kwanini wewe unamwanudu lisu halafu unauliza swali? Ni suala la muda tu siku moja wewe na lisu wako mtajilaumu kwa kitendo chenu cha kushambulia wananchi wa geita na kanda ya ziwa kwa ujmla. Mtu yeyote mwenye nia na doto za kutaka kuwa kiongozi hatakiwi kuwa mbaguzi.
Inaonekana hujitambui.wewe unatoka mkoa gani tukupatie miradi iliyojengwa kipindi chake. Jpm hadi kafufua na njia za reli zilizotelekezwa tangu kipindi cha nyerere kama vile Dar hadi Arusha na kwenyewe ni chato? Furaha yako ni kuona wananchi wa chato hawana mradi hata mmoja?.
Mkuu hata wewe ukiwa Rais utajenga hoteli hizo hizo zenye Nyota. Ukiwa Rais lazima utapendelea kwenu na utafanya maendeleo mengine. Mimi sishangai mtu kupendelea kwao. Angalia amefanyia nini Taifa lake. Tukianza kufufua makaburi hata wewe utapatikana na makosa au utakuwa unaliibia taifa[emoji3][emoji23] eidha kwa kuttolipa kodi au mambo mengine.
Kila mmoja ni mwizi katika his own Risk. Tuacheni chuki
Kwa hiyo huo ni utajiri wa Magu?