Lumumba ni profesa sio Dr mpe heshima yake, jengo la CRDB ni la JPM?Jengo la TRA ni la JPM ?tumia Uhuru wako wa kutoa maoni vizuri kwa busaraHuyo ni mchumia tumbo kama ccm walivyo hiyo chato aliyoenda labda ni chato ya katavi,sio hii ya magufuli...kwahiyo kwa akili yake nusu huo uwanja wa ndege,jengo la TRA,jengo la crdb,hosp kubwa yalijengewa maskini wa chato wawe wanaviangalia ili kupata faraja ya moyo...nasema prof lumumba atakua na PHD kama ya marehemu meko yani feki
PLO Lumumba ni muongo na ni dalali wa watawala siku hizi. Mm nimefollow page zake namjua. Alisema Uchguzi wa Tz ulikuwa Huru na Wa Haki. Wa angalizi wa Kimataifa wakasema Uchaguzi wa Tz ni wa Hovyo! Yy hata wakati wa Uchaguzi hakuwa Tz. Yaani ana sifia vitu ili hali haishi Tz na Media za Tz zime banwa. Na huwa nampiga Spana hukohuko. Yy mwenyewe miaka ya 2017 aliwahi kudanganya Article ya Publication ni yake. Aka shitakiwa Kenya. Akashindwa aka omba wamalize kesi nje ya Mahakama. Google uta ipata kesi hiyo.Nimekuelewa, kumbe ukipigwa risasi unageuka kuwa muongo.
Basi Tundu Lisu hafai hata kuwa mlinzi wa duka maana akili yake imehalibika kwa risasi
Washabiki wake ipo siku mtafanywa kma ya kibwetere.
Kunywa maji mjane, Corona ndio ilipiga sehemu nyeti, tukafukia Mtupoli Chato huko.Kwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Ni Mali yake sasa??Uwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?
Tutaaminije mkuu!!Kuna tetesi kwamba jiwe na Kagame walikuwa hawaongei kisa ni kwamba madini mbali mbali ambayo jiwe lilikwapua nchini na kuomba Kagame amhifadhie Kagame machale yakamcheza kwamba ni madini ya wizi hivyo akaamua kumtia ndani jiwe ndiyo chanzo cha hao wawili kuwa maadui wakubwa.
Kuna majitu yalikwiba Mali zetu kwenda kuwekeza nje kuwa Mali zao binafsi, JpM kafanya hivyo wapi, zaidi kajenga vitu vyoote kama Mali za WatanzaniaLumumba ni profesa sio Dr mpe heshima yake, jengo la CRDB ni la JPM?Jengo la TRA ni la JPM ?tumia Uhuru wako wa kutoa maoni vizuri kwa busara
Kapakua haswaMbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?
Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kijjini kwako kuna Uwanja wa ndege?Chato kule hamna kitu, ni chuki Tu za watu, kule cha maana zaidi ni hospital
Vipi ACTL bado wanatua Chato?Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia....
Singida, Simiyu, Geita, Manyara kote huku hakuna uwanja wa ndege lakini Chato ni Wilaya tayari ina uwanja wa ndege mkuu
Kwa hivyo vyote ulivyotaja Airport, Burigi park na shamba pori ni Mali ya familia ya hayati JPM? Siyo mali ya umma hiyo? Yaani Nyumbu asilimia kubwa ni vilaza.PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Kwani uwanja wa ndege wa chato unamilikiwa na familia ya hayati JPM?Na ile uwanja ya ndege ya kimataifa iko porini
Mkuu, achana na hao vijana wa mbeligiji hawana hojaKwani uwanja wa ndege wa chato unamilikiwa na familia ya hayati JPM?
Tutaaminije mkuu!!
Mwandishi nguli kama wewe unaanzaje tena kutema vitu visivyo na uthibitisho?
WongoUwanja wa ndege kila wilaya upo!
UwongoWongo
Kwa hiyo uwanja wa ndege ni wa Magufuli? Watanzania mfike sehemu muwe waungwana siyo kuleta mihemuko ya kisiasa.Uwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?