PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Huyo ni mchumia tumbo kama ccm walivyo hiyo chato aliyoenda labda ni chato ya katavi,sio hii ya magufuli...kwahiyo kwa akili yake nusu huo uwanja wa ndege,jengo la TRA,jengo la crdb,hosp kubwa yalijengewa maskini wa chato wawe wanaviangalia ili kupata faraja ya moyo...nasema prof lumumba atakua na PHD kama ya marehemu meko yani feki
Lumumba ni profesa sio Dr mpe heshima yake, jengo la CRDB ni la JPM?Jengo la TRA ni la JPM ?tumia Uhuru wako wa kutoa maoni vizuri kwa busara
 
Huyo profesa nae ni muongo kupindukia... aliwahi lini kwenda Biharamulo, Liwale au Ileje ambazo ni wilaya kongwe kupindukia akauona umaskini ulivyo...
 
Nimekuelewa, kumbe ukipigwa risasi unageuka kuwa muongo.
Basi Tundu Lisu hafai hata kuwa mlinzi wa duka maana akili yake imehalibika kwa risasi
Washabiki wake ipo siku mtafanywa kma ya kibwetere.
PLO Lumumba ni muongo na ni dalali wa watawala siku hizi. Mm nimefollow page zake namjua. Alisema Uchguzi wa Tz ulikuwa Huru na Wa Haki. Wa angalizi wa Kimataifa wakasema Uchaguzi wa Tz ni wa Hovyo! Yy hata wakati wa Uchaguzi hakuwa Tz. Yaani ana sifia vitu ili hali haishi Tz na Media za Tz zime banwa. Na huwa nampiga Spana hukohuko. Yy mwenyewe miaka ya 2017 aliwahi kudanganya Article ya Publication ni yake. Aka shitakiwa Kenya. Akashindwa aka omba wamalize kesi nje ya Mahakama. Google uta ipata kesi hiyo.

Pia Kenya ina Rushwa kubwaa na Ugomvi wa Madaraka kati ya Rais Uhuru na DP Ruto ila PLO Lumumba hapanui mdomo.
 
Kuna tetesi kwamba jiwe na Kagame walikuwa hawaongei kisa ni kwamba madini mbali mbali ambayo jiwe lilikwapua nchini na kuomba Kagame amhifadhie Kagame machale yakamcheza kwamba ni madini ya wizi hivyo akaamua kumtia ndani jiwe ndiyo chanzo cha hao wawili kuwa maadui wakubwa.
Tutaaminije mkuu!!
Mwandishi nguli kama wewe unaanzaje tena kutema vitu visivyo na uthibitisho?
 
Lumumba ni profesa sio Dr mpe heshima yake, jengo la CRDB ni la JPM?Jengo la TRA ni la JPM ?tumia Uhuru wako wa kutoa maoni vizuri kwa busara
Kuna majitu yalikwiba Mali zetu kwenda kuwekeza nje kuwa Mali zao binafsi, JpM kafanya hivyo wapi, zaidi kajenga vitu vyoote kama Mali za Watanzania

Uwekezaji wake wote ni Kwa manufaa ya nchi yake
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia....
Vipi ACTL bado wanatua Chato?
 
PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Kwa hivyo vyote ulivyotaja Airport, Burigi park na shamba pori ni Mali ya familia ya hayati JPM? Siyo mali ya umma hiyo? Yaani Nyumbu asilimia kubwa ni vilaza.
 
Nachoona humu, wengi wenu hamkusikiliza mjadala ule ama kwa sababu ya Lugha au hamkua na access. Lissu anatakiwa ajifunze kutofautisha personal conflict of interest Vs public interest.

Ni kweli ana haki ya kuilaum serikali ya Hayati JPM kwa namna ilivyoshughulikia suala lake la kumiminiwa risasi. Hata hivyo, Kuna Mambo anapotakiwa kuyaeleza anapaswa kusahau kwa muda shambulio lake, ili aeleze akiwa neutral.

Kinyume chake, anapinga hadi vitu vinavyoonekana kwa macho. Apunguze hasira na mihemuko, arudi nyumban tushirikiane kuinua uchumi, kulinda Image, usalama na umoja na mshikamano wa Taifa.
 
Back
Top Bottom