gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Kwa kusema eneo la Mwendazake Chato ni la kimaskini imedhihirisha kuwa nae ni muongo.
Amandla...
Anayetakiwa kutulia ni Lissu. Unafurahia kifo cha mwenzio wakati na wewe unaenda huko hukoMwambie Lumumba atulie. Adili ni Mwizi DP Ruto. Wasomi Tz tuna furahia kifo cha Dikteta na Mwizi wetu.
Mm najua nitakufa. Ila sita ua mtu. Wala siwezi kuwa dikteta. Yy kaua wengi tiyar katangulia na Tz ipo pale pale na Lissu wa risasi 38 yupo ana dunda tu.Anayetakiwa kutulia ni Lissu. Unafurahia kifo cha mwenzio wakati na wewe unaenda huko huko
Let us be serious jamani,hivi kama Magufuli alikuwa mpigajiii....,Mkapa na Kikwete mtawaweka wapi.Hii ni nia ovu tu ya kuwapaka matope watu kwa agenda zenu za kisiasa na financial.Mtatumiwa na mabeberu mpaka lini?Kwanza Magufuli ameshatangulia mbele za haki,mnapata faida gani kwa kuendelea kumchafua?PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Nadhani ni rahisi sana kumwambia atulie wakati hujapitia kile alichopitia. Ni ubinadamu kufurahia kifo cha mtu ambae unaamini amejaribu kukuua na anafanya kila namna ya kukudhuru. Anachokifanya sasa ni kuanika kile anachoamini kuwa ni mapungufu ya Mwendazake. Tunachotakiwa kufanya ni kumuonyesha kwa hoja kuwa hamtendei haki. Kumkazania aonyeshe majonzi ambao hayasikii hakutasaidia kitu.Anayetakiwa kutulia ni Lissu. Unafurahia kifo cha mwenzio wakati na wewe unaenda huko huko
Shida ya Lisu ni saikolojiatu basiNadhani ni rahisi sana kumwambia atulie wakati hujapitia kile alichopitia. Ni ubinadamu kufurahia kifo cha mtu ambae unaamini amejaribu kukuua na anafanya kila namna ya kukudhuru. Anachokifanya sasa ni kuanika kile anachoamini kuwa ni mapungufu ya Mwendazake. Tunachotakiwa kufanya ni kumuonyesha kwa hoja kuwa hamtendei haki. Kumkazania aonyeshe majonzi ambao hayasikii hakutasaidia kitu.
Amandla...
Kwa hiyo Tundu kupigwa risasi ndiyo JPM anakuwa na utajili wa kama Mobutu!!Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Mungu siyo AmsterdamMungu wetu ana nguvu, hivyo ilikuwa ni kutusikiliza tu sisi waja wake dhidi ya yule muovu.
Huyo mungu wenu mbaona hajamsaidia Lisu aingie ikulu?Hakukuwa na ulazima wa kuingia barabarani watu wapoteze maisha dhidi ya yule ibilisi, tulichofanya ni kuongea na Mungu ndani ya miezi sita ibilisi asiwepo kuendelea kumwaga damu za wananchi. Na kweli leo hii ibilisi yuko motoni, anatoa mahesabu ya mauaji aliyofanya kwa uchu na kiburi cha madaraka.
Mobuutu na JPM wote wamejenga Viwanja vya ndege nyumbani kwao. Pia Trilion 1.5 ndani ya miaka 3 tu hatujui iliko. Auditing iki fanyinyika ATCL, STIGLERS GORDGE, BARABARA,:UBUNGO INTERCHANGE, BUSISI BRIDGE, nk ni wizi wa kutisha.Kwa hiyo Tundu kupigwa risasi ndiyo JPM anakuwa na utajili wa kama Mobutu!!
Kwamba hakupigwa risasi bali ni imagination yake tu?Shida ya Lisu ni saikolojiatu basi
Risasi alizopigwa Lisu ndio zilimuathiri!Kwamba hakupigwa risasi bali ni imagination yake tu?
Amandla...
Kwa ni report ya juzi ya CAG haikuwa auditing report? nakumba CAG alidai wali audit ATCL, stiglers, men do kazi phase2 mbagala,miradi baadhi ya maji na SIR to makutopora, katika miradi hii ni ATCL tu ndio ilionyesha ATCL inajiendesha kwa hasara wala sio upigaji, na bado report hiyo hiyo inaonyesha Tanzania kupanda kutoka 102 hadi 94 kwa jitihada za kupambana na rushwa, Lissu kapayuka ohhh legacy imekufa , kwani kuna ugumu gani kuwa na tabia ya kuappreaciate? , kuna mazuri na mabaya.Mobuutu na JPM wote wamejenga Viwanja vya ndege nyumbani kwao. Pia Trilion 1.5 ndani ya miaka 3 tu hatujui iliko. Auditing iki fanyinyika ATCL, STIGLERS GORDGE, BARABARA,:UBUNGO INTERCHANGE, BUSISI BRIDGE, nk ni wizi wa kutisha.
Mbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?
Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app