PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Anayetakiwa kutulia ni Lissu. Unafurahia kifo cha mwenzio wakati na wewe unaenda huko huko
Mm najua nitakufa. Ila sita ua mtu. Wala siwezi kuwa dikteta. Yy kaua wengi tiyar katangulia na Tz ipo pale pale na Lissu wa risasi 38 yupo ana dunda tu.
 
Lissu angepunguza jazba na mihemuko kidogo tu then akawa anajenga hoja zake with evidence in a “calm and collected manner” ingependeza sana

Kuna lawyer moja gwiji sana hapo Nairobi linaitwa James Orengo. Yule jamaa anakupiga za uso na kupangua hoja bila kupayuka mpaka majaji wanaweka kalamu chini na kumsikiliza neno kwa neno. We need to emulate such learned brothers
 
Mtu anayemchulia Tindu Lissu serious na yeye ana matatizo kwenye ubongo.Yule anasema kila jambo kuwafurahisha mabwana zake mabeberu,so people should not take him seriously.
 
Hivi ni kweli Jirani anaweza kujua mazingira ya ndani ya nyumba, kushinga wanafamilia yenyewe?
 
PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Let us be serious jamani,hivi kama Magufuli alikuwa mpigajiii....,Mkapa na Kikwete mtawaweka wapi.Hii ni nia ovu tu ya kuwapaka matope watu kwa agenda zenu za kisiasa na financial.Mtatumiwa na mabeberu mpaka lini?Kwanza Magufuli ameshatangulia mbele za haki,mnapata faida gani kwa kuendelea kumchafua?
 
Anayetakiwa kutulia ni Lissu. Unafurahia kifo cha mwenzio wakati na wewe unaenda huko huko
Nadhani ni rahisi sana kumwambia atulie wakati hujapitia kile alichopitia. Ni ubinadamu kufurahia kifo cha mtu ambae unaamini amejaribu kukuua na anafanya kila namna ya kukudhuru. Anachokifanya sasa ni kuanika kile anachoamini kuwa ni mapungufu ya Mwendazake. Tunachotakiwa kufanya ni kumuonyesha kwa hoja kuwa hamtendei haki. Kumkazania aonyeshe majonzi ambao hayasikii hakutasaidia kitu.

Amandla...
 
Yule Masamaki wa TRA alikutwa na nyumba Sabini zote zinafanana na madarasa..kule Chanika , so PLO Lumba kukuta nyumba za kawaida pengine inachangiwa na kitendo cha magufuli kuwa mshamba , kwake Kajenga kama kijiji nyumba nyingi sana lakini za kishamba hazina Class ....
Kajenga lihoteli likuuubwa kati kati ya pori na sijui wateja watatoka wapi ......kimsingi kuna tofauti kati ya kuwa na pesa nyingi na kuwa mjanja wa kupangilia vitu vizuri ...
 
Nadhani ni rahisi sana kumwambia atulie wakati hujapitia kile alichopitia. Ni ubinadamu kufurahia kifo cha mtu ambae unaamini amejaribu kukuua na anafanya kila namna ya kukudhuru. Anachokifanya sasa ni kuanika kile anachoamini kuwa ni mapungufu ya Mwendazake. Tunachotakiwa kufanya ni kumuonyesha kwa hoja kuwa hamtendei haki. Kumkazania aonyeshe majonzi ambao hayasikii hakutasaidia kitu.

Amandla...
Shida ya Lisu ni saikolojiatu basi
 
Hakukuwa na ulazima wa kuingia barabarani watu wapoteze maisha dhidi ya yule ibilisi, tulichofanya ni kuongea na Mungu ndani ya miezi sita ibilisi asiwepo kuendelea kumwaga damu za wananchi. Na kweli leo hii ibilisi yuko motoni, anatoa mahesabu ya mauaji aliyofanya kwa uchu na kiburi cha madaraka.
Huyo mungu wenu mbaona hajamsaidia Lisu aingie ikulu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnajifariji sana aisew
 
Comments zote humu hakuna aliyeelezea chanzo cha hasira za Tundu Lissu. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kudindisha tena baada ya zile risasi,Jogoo haliwiki. Kwa wanaume mliopo JF ambao unajua vizuri utamu wa K unadhani mtu aliyesababisha wanawake uanze kuwaona kama madume utamchukia kiasi gani!?.. kwahiyo msimshangae sana Lissu. Maisha yameshakosa maana kabisa. Ila tulimwambia asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Hata Kama JPM kafa Ila na yeye JOGOO halisimami tena. Ukikuta ni kweli alidokolewa na Amsterdam usishangae.
 
Huyo lumumba amekaa kilumumba lumumba tu mtaa pendwa ule wa jamaa zangu wa buku saba, Jiwe ana kijiji mpaka kanisa limo ndani, usifanye mchezo plus ikulu hotel etc. ndani mwake na kwa taarifa yenu hata pale Opposite na kwake ambapo imejengwa Halmashauri ya Chattle yeye ndio kawauzia lile eneo ,ukiwa hujui kitu isichangie kimihemko kwasababu na bunnlde kwenye kismart kitochi chako, mtu anahonga mpaka Hawara anajenga Kebbys hotel aka Kabula shitobelo unasema hana ukwasi utakua na akili wewe? Ukuu wa wilaya kahonga na vingine viiiingi, Jiwe was idiot among others period.
 
Kwa hiyo Tundu kupigwa risasi ndiyo JPM anakuwa na utajili wa kama Mobutu!!
Mobuutu na JPM wote wamejenga Viwanja vya ndege nyumbani kwao. Pia Trilion 1.5 ndani ya miaka 3 tu hatujui iliko. Auditing iki fanyinyika ATCL, STIGLERS GORDGE, BARABARA,:UBUNGO INTERCHANGE, BUSISI BRIDGE, nk ni wizi wa kutisha.
 
Kwamba hakupigwa risasi bali ni imagination yake tu?

Amandla...
Risasi alizopigwa Lisu ndio zilimuathiri!

Na ili apone yafaa watu wasiojulikana waletwe mbele ya Lisu kisha apewe SMG awatandike wote kulipa kisasi.

Vinginevyo Lisu atabaki kuwa amepona kimwili tu ila kisaikolojia bado sana.
 
Mobuutu na JPM wote wamejenga Viwanja vya ndege nyumbani kwao. Pia Trilion 1.5 ndani ya miaka 3 tu hatujui iliko. Auditing iki fanyinyika ATCL, STIGLERS GORDGE, BARABARA,:UBUNGO INTERCHANGE, BUSISI BRIDGE, nk ni wizi wa kutisha.
Kwa ni report ya juzi ya CAG haikuwa auditing report? nakumba CAG alidai wali audit ATCL, stiglers, men do kazi phase2 mbagala,miradi baadhi ya maji na SIR to makutopora, katika miradi hii ni ATCL tu ndio ilionyesha ATCL inajiendesha kwa hasara wala sio upigaji, na bado report hiyo hiyo inaonyesha Tanzania kupanda kutoka 102 hadi 94 kwa jitihada za kupambana na rushwa, Lissu kapayuka ohhh legacy imekufa , kwani kuna ugumu gani kuwa na tabia ya kuappreaciate? , kuna mazuri na mabaya.
 
Mbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?

Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Screenshot_20210329-234736.png
 
Back
Top Bottom