PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Pale mkenya anapojifanya mtetezi wa mwenda zake,wakati ameliacha Taifa lake bila kusaidia chochote
 
Singida, Simiyu, Geita, Manyara kote huku hakuna uwanja wa ndege lakini Chato ni Wilaya tayari ina uwanja wa ndege mkuu

Huu upotoshaji. Airport ya Geita iko Chato. Mpango wa Serikali ni kujenga airport kila mkoa na tayari mikoa mikoa mingi ina airport.

Wewe ulitaka Geita iwe ya ngapi kwa kuwa na airport na airport ikijengwa ijengwe wapi na kwa sababu gani?
 
Huu upotoshaji. Airport ya Geita iko Chato. Mpango wa Serikali ni kujenga airport kila mkoa na tayari mikoa mikoa mingi ina airport.

Wewe ulitaka Geita iwe ya ngapi kwa kuwa na airport na airport ikijengwa ijengwe wapi na kwa sababu gani?
Mpuuzi wewe toka mwendazake ameondoka kuna ndege imetua hapo?
 

Mkuu uwe unaelewa ,JPM kuhusu ufisadi hajaanza kusemwa baada ya kufariki labda wewe mgeni JF.


 
Mpuuzi wewe toka mwendazake ameondoka kuna ndege imetua hapo?

Lugha zisizo na staha sio substitute ya nguvu ya hoja, bali ni hoja ya nguvu.

Wewe una takwimu za activity katika viwanja vya ndege vilivyopo nchini? Kigezo cha mkoa kuwa na airport ni nini, kwa fikra zako?
 
Lugha zisizo na staha sio substitute ya nguvu ya hoja, bali ni hoja ya nguvu.

Wewe una takwimu ya activity katika viwanja vya ndege vilivyopo nchini? Kigezo cha mkoa kuwa na airport ni nini, kwa fikra zako?
Kwanini Chato haikuwa na uwanja wa ndege kabla jiwe hajawa Rais?
 
Ripoti iliandaliwa kukabidhiwa nani? JPM au SAMIA? ([emoji3][emoji3]). Hivi ni kwann ATCL toka 2016 haikuwahi kukaguliwa licha ya Kelele Bungeni? tafakari.
Je kuna majibu ya Tshs 1.5 Trullion kupotea -CAG ripoti? Kuondoa Uhuru wa Vyombo vya habari na kupingwa kukosolewa ni njia za Madikteta kuficha uovu wao. Je uwanja wa ndege Chato uli jadiliwa Bunge gani? Unajua Tendering process yake na value yake? Je ni vingapi hatujui huko CHATO? Accounts zake Benki? Vingi katuficha! Je CAG- Assad alitolewa kwa sababu zipi? Kinyume na Katiba.

Tambua kuna Auditing za Financial Statements (for true and fair view) na Auditing za Value for Money. VfM Miradi yote ya JPM ni Upigaji tu. Pia hakupenda miradi midogomidogo kama ya Maji Billion 1 au Million 900 ila Madaraja kama Busisi Billion 690 ili apige na tusijue. kwenye Billion 690 akipiga Billion 3 utajua? Ila mradi wa Maji Million 700 uki piga million 200 tutajua tu umepiga. Hizi za Maji japo ni Mhimu sana, JPM hakupenda. Alipenda Makubwa na ya kuonekana machoni (kudanganyia watu). Ila katupiga sna.
o
 
Hahahaaaa....... Kwani kusoma Udsm ni lazima iwe degree bwashee?!
 
Hivi kuhusu nchi ya tanzania na Viongozi wake, Nani anajua zaidi, Mkenya au Mtanzania?
 
Kama wewe nawe ni mwizi ni shauri yako ila usimlaximishe BAK kubwa naye eti ange iba.
Na kuambia hadi kufika desemba mwaka huu, kama uhuru wa habari, wapinzani kupewa nafasi ya kuongea na CAG kutimiza wajibu wake kuna watu watasafiri kwenda "kitovuni" sio kwa ajili ya kutalii bali kunyea alipohifadhiwa mwizi
 
Reactions: BAK
Kama Mungu ana nguvu na mliomba akasikia kwa nini mungu Yule yule Magufuli akiwaambia muombe na ametukinga kwa corona mnakataa? au sio nyie mnaodai tutumie njia za kiscience? au mungu yuko kwenye tu kwa wenngine hayuko?



Muulize kwanini hawakumuomba huyo mungu wao ili Lissu awe rais badala ya kuwa mkimbizi?
 
Lumumba ameongea sahihi lisu ajitafakari Mara mbili
 
Chato ni masikini kweli ila tayari kulikuwa na kamchakato kalikokuwa kanandelea ka kumtengeneza Mobutu mwingine.... sema Mungu ni fundi akamuwahi!!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…