Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mungu wetu ni wa uzima, alimpa Lisu uzima baada ya jiwe kuwaagiza nyie watu wa kundi lake la watu wasiojulikana kumshambulia. Kwa sasa Lisu aliyeshambuliwa Mungu kamuweka hai, yule aliyekuwa akilindwa kwa hayo mabunduki covid imempiga chini. Hapo ndio utajua nguvu ya Mungu wetu.Huyo mungu wenu mbaona hajamsaidia Lisu aingie ikulu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnajifariji sana aisew