UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sasa unamyima nani raha wakati ccm ndio wanakula raha na nyie mnaishia kupayuka tu kama mijibwa koko la kufanya hamna,juzi mmebweka kuhusu kwamba Rais anatakiwa kuvunja baraza la mawaziri na kuhusu waziri wa fedha ila tizama Mama samia alivyowapuuza.Streass tuitoe wapi, sisi kazi yetu ni kuwajambisha nyie majizi ya kura na kuwanyima raha.
Halafu et mnajambisha sasa hapo mnamjambisha nani? nyie mna stress hadi leo bado mna hasira na marehemu.