Mungu wetu ni wa uzima, alimpa Lisu uzima baada ya jiwe kuwaagiza nyie watu wa kundi lake la watu wasiojulikana kumshambulia. Kwa sasa Lisu aliyeshambuliwa Mungu kamuweka hai, yule aliyekuwa akilindwa kwa hayo mabunduki covid imempiga chini. Hapo ndio utajua nguvu ya Mungu wetu.Huyo mungu wenu mbaona hajamsaidia Lisu aingie ikulu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnajifariji sana aisew
Mkuu hoja ilikuwa ni utajiri wa Marehemu Magufuli binafsi kuwa no mkubwa kuliko Mobutu.Uwanja wa ndege chato ni Mali ya serikali na sio Magufuli.Na ile uwanja ya ndege ya kimataifa iko porini
Kitendo cha kuongezewa gharama za vifurushi na dakika kimetuumiza sana wanyonge. Au nasema uwongo ndugu zangu? Basi tuandamane!! Nyo.ko brainwash!CHADEMA njooni mseme kitu
Maneno mengi ujinga mtupu
Haimpi haki ya kusema uongo na kuhada ulimwengu. Issue ya kupigwa risasi ni kweli mafufuli na serekali yake wamemdhulumu haki Lissu na wamemuonea.Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Wewe unazijuaPLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Mungu siyo amsterdam!Mungu wetu ni wa uzima, alimpa Lisu uzima baada ya jiwe kuwaagiza nyie watu wa kundi lake la watu wasiojulikana kumshambulia. Kwa sasa Lisu aliyeshambuliwa Mungu kamuweka hai, yule aliyekuwa akilindwa kwa hayo mabunduki covid imempiga chini. Hapo ndio utajua nguvu ya Mungu wetu.
Mungu siyo amsterdam!
Mungu siyo Amsterdam wala LisuNenda chattle kaongee na mizimu ya jiwe wakuambie Mungu ni nani.
Wewe unazijua
Kwa hiyo risasi ndio zinamfanya aropoke?Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Awamu ya tano ilikuwa na wapambe wa ndani na nje ya nchi. Lumumba alikuwa miongoni mwao. Kwa jinsi alivyofanya na anavyoendelea kufanya hiyo kazi inaashiria kuwa alikabidhiwa jukumu!
Kwahiyo?Toka wakati wa kampeni zake za kishetani, alikuwa wiki moja barabarani, wiki 2 garage.
Uzi huu hauhusiani na vifurushi nitaku ban mkuuKitendo cha kuongezewa gharama za vifurushi na dakika kimetuumiza sana wanyonge. Au nasema uwongo ndugu zangu? Basi tuandamane!! Nyo.ko brainwash!
Kwahiyo?
Hahahaaaa.........!Uzi huu hauhusiani na vifurushi nitaku ban mkuu
Sumu mnywe nyie ambao mmeangaika na ccm weee mara akaja Jiwe nae mkangaika nae wee hadi kaondoka na sasa imebaki tena ccm mwendo uleule, Mimi sijajipa stress hivyo sina sababu ya kunywa sumu.Habari ndio hiyo, hutaki, kunywa sumu ufe.
Streass tuitoe wapi, sisi kazi yetu ni kuwajambisha nyie majizi ya kura na kuwanyima raha.Sumu mnywe nyie ambao mmeangaika na ccm weee mara akaja Jiwe nae mkangaika nae wee hadi kaondoka na sasa imebaki tena ccm mwendo uleule, Mimi sijajipa stress hivyo sina sababu ya kunywa sumu.