Sasa unamyima nani raha wakati ccm ndio wanakula raha na nyie mnaishia kupayuka tu kama mijibwa koko la kufanya hamna,juzi mmebweka kuhusu kwamba Rais anatakiwa kuvunja baraza la mawaziri na kuhusu waziri wa fedha ila tizama Mama samia alivyowapuuza.Streass tuitoe wapi, sisi kazi yetu ni kuwajambisha nyie majizi ya kura na kuwanyima raha.
Sasa unamyima nani raha wakati ccm ndio wanakula raha na nyie mnaishia kupayuka tu kama mijibwa koko la kufanya hamna,juzi mmebweka kuhusu kwamba Rais anatakiwa kuvunja baraza la mawaziri na kuhusu waziri wa fedha ila tizama Mama samia alivyowapuuza.
Halafu et mnajambisha sasa hapo mnamjambisha nani? nyie mna stress hadi leo bado mna hasira na marehemu.
Kwenda motoni hayo mambo ya kiimani na tukiyaleta hapa basi hata wewe pia utakufa na kwenda huko huko motoni sasa hapo cha kufurahia kipi? wewe kubali tu Jiwe kawavuruga na sasa Mama samia anaendeleza kuwavuruga imebaki kidogo tu muokote makopo.Kwangu marehemu alikuwa ni ibilisi na nilifurahi sana baada ya yeye kuelekea motoni. Huyo mama avunje baraza la mawaziri asivunje is none of my business, since ninajua wao ni majizi ya kura fullstop.
Ni uwanja wa kimatifa ambayo una runway ya kilometa tano, Tanzania havifiki vinneMpuuzi wewe toka mwendazake ameondoka kuna ndege imetua hapo?
Kawavuruga wakina nani ni dikteta aliyedumu mda mchacheKwenda motoni hayo mambo ya kiimani na tukiyaleta hapa basi hata wewe pia utakufa na kwenda huko huko motoni sasa hapo cha kufurahia kipi? wewe kubali tu Jiwe kawavuruga na sasa Mama samia anaendeleza kuwavuruga imebaki kidogo tu muokote makopo.
Balaa tupuNi uwanja wa kimatifa ambayo una runway ya kilometa tano, Tanzania havifiki vinne
Sasa huo muda mchache tu kawafanya watu mnamlaani hadi sasa,je angekaa muda mrefu hali ingekuwaje?Kawavuruga wakina nani ni dikteta aliyedumu mda mchache
Angekaa mda mrefu angevunja record ya Hitler na stalinSasa huo muda mchache tu kawafanya watu mnamlaani hadi sasa,je angekaa muda mrefu hali ingekuwaje?
Mmh asapoti nn ? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha kwa hiyo ndio mana anasapoti kwa mpalange!?
Ndio mshukuru mngeokota makopo mwaka huu kwa stress mlizokuwa mnapata.Angekaa mda mrefu angevunja record ya Hitler na stalin
Yaani unaonyesha ni namna gani we ni Nyumbu, jirani yako akieneza Sifa nzuri kuhusu familia yako badala ya kumsifu utaenda kumshambulia kweli?Acha mitazamo ya ajabu! Unafurahi mtu wa nje kuisemea nchi yako rafiki? Tumefika pabaya. Kwanza lengo hasa la majadiliano halikuwa Kama watu wanavyofikiri. Vyombo vya nje vimelenga kuichafua Tanzania kwa kuonyesha hatuna uhuru na ndio maana hakuna hata wa kuisemea nchi.
Pili,vimeamua kuonyesha ulimwengu kuwa watanzania ni waongo na wapika data ndio maana vyombo hivyo vimeamua kushirikiana na majirani zetu ambao wanatufahamu vyema. Too sad.
Nchi zinazojitambua zingejitokeza na kumkana mtu wa nje kuwa msemaji wa serikali na kujipachika uraia wa nchi husika. Nashangaa sana sisi watanzania kusapoti udhalilishaji huu.
Kenyans wanatuona wapuuzi sana. Jaribu kuisemea Kenya uone hata Kama unaisifia. Utaona watakavyokucharukia. We have become the laughing stock of outsider brother.
Ukisikiliza vizuri utagundua PLO hakuwa anasifu Bali kukejeli kwa njia ya kukashifu. Hata Tundu alikuwa anamwelewa. Ile ni mbinu yetu sisi wanasheria. WAKE UP!!!
Huku kwetu hata mkoa hakuna airport, hizo wilaya unazosema zina viwanja ni zipi?Uwanja wa ndege kila wilaya upo!
Kwenda motoni hayo mambo ya kiimani na tukiyaleta hapa basi hata wewe pia utakufa na kwenda huko huko motoni sasa hapo cha kufurahia kipi? wewe kubali tu Jiwe kawavuruga na sasa Mama samia anaendeleza kuwavuruga imebaki kidogo tu muokote makopo.
Huyo mama hata mwezi hana hivyo bado sana ila inaonekana huyu anawajulia vizuri haongei kwa ukali wala nini ila atawatia sana stress zaidi ya mtangulizi wake.Mimi hata nikienda motoni hamna shida maana sijifanyi mcha Mungu kama jiwe. Huyo mama amvuruge nani? Naona mnalazimisha huyo mama aige tabia za kibaradhuli ili kuficha tabia za yule muovu, ila kwa bahati mbaya huyo mama anajitenga na tabia za yule ibilisi.
Huyo mama hata mwezi hana hivyo bado sana ila inaonekana huyu anawajulia vizuri haongei kwa ukali wala nini ila atawatia sana stress zaidi ya mtangulizi wake.
Ni hivi, yule mtangulizi wake alikuwa ibilisi, huyo mama hata amuige hawezi kumfikia. Hivyo matamanio yako ya mtu muovu kufichiwa udhalimu wake, yasahau fullstop.
Hiki kisago cha bundle ni maagizo ya ibilisi mwenyewe, halafu alikuwa anaoongopea watu kuwa nchi hii ina rasilimali kibao na ni tajiri sana. Kama ina rasilimali kibao, mbona kodi kandamizi ziko kwenye mawasiliano, na sio huko kwenye hizo raslimali?Unasemaje khs bando mkuu?