PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

wahenga walisema kila mwamba ngoma huvutia kwake na ndicho alichofanya Prof Lumumba huyo ni teja kwa mwendazake hasikii haoni kila hoja ya ubaya wa mwendazake huitwist vizuri na mark up.
Ni kajinga sana kanajadili mambo ya watanzania wakati kwao mambo ya BBI yanaipasua nchi yao
 
Unajisumbua tu wewe MATAGA, hamna pakushika tena dadeeeki.

Lazima mtahama hapa mjini mrudi kwenu koromitje
 
Acha wivu wewe, weka hapa hizo accounts tuone !

Alafu Magufuli kuwa na hotel ya nyota 4 ni kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…