PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Huyo naye ni mtumia fursa tu hana jipya.
 


Ni kweli endelea kumsikiliza Prof PLO as if wewe ni mgeni na nchi yako.
 
Hili lilinishangaza Sana, wapiga picha hawakutakiwa kupiga picha zaidi ya wageni, gadi ya mazishi na kuweka mashada, sijui kulikuwa kunafichwa kitu gani.
Ndiyo mjue kuwa kulikuwa na mambo ya kutisha sana
 
Ila huyo Lumumba kwa kauli yake ni kama anakubaliana na msingi wa hoja za waliokuwa wanapinga uwekezaji mkubwa wa kodi za Watanzania uliokuwa unasemekana kufanyika Chato.

Ingehitaji matrilioni ya pesa kubadilisha sehemu kama Chato from scratch wakati kiasi tu cha pesa hizo zingewekezwa sehemu ambayo tayari ina maendeleo fulani, ingekuwa na immediate impact ambayo labda ingesambaa taratibu na kufika huko Chato.

Ni suala la vipaumbele tu. Miradi gani ya maendeleo ingeweza kufanyika Chato ikagusa moja kwa moja wananchi wa pale ili hata wageni kama hao kina Lumumba wakifika wayaone kwa macho?
 
PLO Lumumba hawezi kuwa msemaji wa Watanzania. Kama yeye ni muumini wa Sera za magufuli,itoshe kusema wenye nchi hatujawahi kuridhika naye.

Chato kaipendelea kwa vingi sana ndani ya miaka 5 tu ya udikteta wake; kajenga Airport, kaweka mataa ya barabarani, kajenga hospitali ya kanda, kajenga jengo kubwa la PCCB, kaweka CRDB, kajenga shule ya msinhi ya gorofa aliposomea, alikua anataka kajenga chato stadium, kaanzisha mbuga za burigi na kusafirisha wanyama, na mengine mengi sana ikiwemo kuanzisha mchakato wa kujipa mkoa wa chato.

Haya hayakuonekana ktk wilaya zingine. Amejipakulia sana minyama huyu baba mpaka kamuudhi Mungu akaamua amchukue tu kiumbe wake asiendelee kuwanyonya damu wengine.
 
Anaepeleka mambo ya ndani ni hao kina Tindi liso &co, sasa anaowapelekea wanamueleza ukweli , mtulie dawa ipenye
 
Professa gani anaongelea puani!
 
Watapoteana sana ingefaa wakakaa kimya tu, Dunia imeona Magufuli alivopendwa na watu wake .
 
Sijui kwanini korona isipambane naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…