PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Hata kama lakini Lisu kazidi aisee!

Mwanaume gani unakuwa na hasira na gubu kiasi kile?
Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
 
Hata ungekuwa wewe Kama LISU Lazima ungemchukiatu Lakini Kama Unatokea LUMUMBA huwezi kwa yakiomtokea LISU Lazima amchukietu
 
Amesoma hapo UDSM bwashee!
Sio kweli hajawahi kusomea UDSM,shahada yake ya kwanza na ya uzamili ya sheria,alisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi kabla ya kwenda Chuo Kikuu cha Ghent Belgium kwa ajiri ya shahada ya uzamivu.
 
Huyo lumumba Ni kanjanja anachojua yeye Ni kula helanza mihadhara tu na kuvaa manguo yake ya batiki hajawahi hata kukaa hapo mwezi mzima

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Huyo unaye muelewesha usikute ndiyo kati ya kundi lililo fanya huo unyama
 
Sio kweli haijawahi kusomea UDSM,shahada yake ya kwanza na ya uzamili ya sheria,alisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi kabla kwenda Chuo Kikuu cha Ghent Belgium kwa ajiri ya shahada ya uzamivu.
Asante sana mkuu kutukamatia huyo mrongo na mkoora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…