PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Hata kama lakini Lisu kazidi aisee!

Mwanaume gani unakuwa na hasira na gubu kiasi kile?
Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Hata ungekuwa wewe Kama LISU Lazima ungemchukiatu Lakini Kama Unatokea LUMUMBA huwezi kwa yakiomtokea LISU Lazima amchukietu
 
Amesoma hapo UDSM bwashee!
Sio kweli hajawahi kusomea UDSM,shahada yake ya kwanza na ya uzamili ya sheria,alisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi kabla ya kwenda Chuo Kikuu cha Ghent Belgium kwa ajiri ya shahada ya uzamivu.
 
Lumumba hana mabadiliko yoyote aliyowahi kuchangia katika uchumi wake na uchumi wa Afrika licha Dunia, ukimsikiliza unachokiona ni maneno yakiingereza yaliyopakwa Nakshi. Mazingira ya Chato miaka mitano Leo hii kwa msomi mzalendo anaweza kutetea kilichofanyika? Lakini najiuliza lini alifika chato? Kwa ninavyomfahamu hakuna alipokanyaga bila media kuwa nyuma yake maana si kwa mbwembwe hizo.

Mfuatilie Lumumba kwenye uchaguzi wa Kenya uliopita utajua who his Lumumba
Huyo lumumba Ni kanjanja anachojua yeye Ni kula helanza mihadhara tu na kuvaa manguo yake ya batiki hajawahi hata kukaa hapo mwezi mzima

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
Huyo unaye muelewesha usikute ndiyo kati ya kundi lililo fanya huo unyama
 
Sio kweli haijawahi kusomea UDSM,shahada yake ya kwanza na ya uzamili ya sheria,alisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi kabla kwenda Chuo Kikuu cha Ghent Belgium kwa ajiri ya shahada ya uzamivu.
Asante sana mkuu kutukamatia huyo mrongo na mkoora
 
Back
Top Bottom