Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lisu anajuta kumfahamu PLO Lumumba!Huyo unapoteza muda wako maana ni empty
Na mwenzake johnthebaptist wote kiingereza kwao ni adhabu kubwaKama English tu inakushinda ndio ulielewa hta alichoongea?
Hiyo hotel aliipata lini?Raisi wa wanyonge? Awe na Hotel ya nyota 4? Wanyonge wenzake wangapi wenye hizo hotel za hadhi hiyo?
Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.Hata kama lakini Lisu kazidi aisee!
Mwanaume gani unakuwa na hasira na gubu kiasi kile?
Akijubu ndio atamuelewa lissuYeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Hujitambui tu maana mtu mwenyewe sijui kama hata std seven umeigusaTundu Lisu anajuta kumfahamu PLO Lumumba!
Hata ungekuwa wewe Kama LISU Lazima ungemchukiatu Lakini Kama Unatokea LUMUMBA huwezi kwa yakiomtokea LISU Lazima amchukietuNimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
poleni sana tuliwaambia yule hamna kitu!!!Wewe endelea kubugia mbandule ndiyo unachoweza
Wacha kudanganya watu weweHiyo hotel aliipata lini?
Uzuri inafahamika ni kabla ya huo urais
Ma lumumba woote ni wachawiHata ungekuwa wewe Kama LISU Lazima ungemchukiatu Lakini Kama Unatokea LUMUMBA huwezi kwa yakiomtokea LISU Lazima amchukietu
Sio kweli hajawahi kusomea UDSM,shahada yake ya kwanza na ya uzamili ya sheria,alisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi kabla ya kwenda Chuo Kikuu cha Ghent Belgium kwa ajiri ya shahada ya uzamivu.Amesoma hapo UDSM bwashee!
Lumumba anafata meza yenye bia nyingi
Huyo lumumba Ni kanjanja anachojua yeye Ni kula helanza mihadhara tu na kuvaa manguo yake ya batiki hajawahi hata kukaa hapo mwezi mzimaLumumba hana mabadiliko yoyote aliyowahi kuchangia katika uchumi wake na uchumi wa Afrika licha Dunia, ukimsikiliza unachokiona ni maneno yakiingereza yaliyopakwa Nakshi. Mazingira ya Chato miaka mitano Leo hii kwa msomi mzalendo anaweza kutetea kilichofanyika? Lakini najiuliza lini alifika chato? Kwa ninavyomfahamu hakuna alipokanyaga bila media kuwa nyuma yake maana si kwa mbwembwe hizo.
Mfuatilie Lumumba kwenye uchaguzi wa Kenya uliopita utajua who his Lumumba
Huyo unaye muelewesha usikute ndiyo kati ya kundi lililo fanya huo unyamaMkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
Rombo? Kibaha? Lushoto? Same? Mwanga? Hai? Bagamoyo? Handeni? Kilindi? Mikumi? Kila wilaya ina kiwanja cha ndege nilikuwa sijui.....Uwanja wa ndege kila wilaya upo!
Asante sana mkuu kutukamatia huyo mrongo na mkooraSio kweli haijawahi kusomea UDSM,shahada yake ya kwanza na ya uzamili ya sheria,alisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi kabla kwenda Chuo Kikuu cha Ghent Belgium kwa ajiri ya shahada ya uzamivu.
Umemaliza kaziHuyo jamaa LUMUMBA Hana Akili