PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Ni mirafi ya Umma.

Tuwekee na ya Kilimanjaro!
Niulize Wilaya ya Handeni nitakujibu.Kifupi sana hakuna mradi wa maji,hakuna airport,hakuna Chuo cha VETA,Hakuna hifadhi ya wanyama,hakuna jengo jipya la mahakama,hakuna jengo jipya la CRDB,Hakuna Hospital ya rufaa na utie hakuna si kama huyo Prof mjinga Wilaya ya Handeni ni kongwe kuliko Chato kwa zaidi ya miaka 30.
 
Anajua nini? Mbona tume ya kupambana na rushwa huko Kenya ilimshinda?

Huyu alisimama na Uhuru Kenyatta kupora ushindi wa Odinga na akaangushwa kwenye kesi.

Hata siku moja mgeni hawezi jua mambo ya ndani. Ndio maana Dunia nzima inamuadmire Haille Sellasie ila ukifika Ethiopia wanamuona dikteta tu, hta Kagame anasifiwa dunia nzima ila Rwanda wengi tu wanamuona ni mnyama tu.

So hata siku moja mtu wa mbali huwezi jua kila kitu cha ndani, ataangalia tu mambo ya juu juu tu.
Upo sahihi mkuu,hongera sana
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Weka hoja yake ya huyo lumumba ambayo imekuvutia afu tuipime
 
Hahahha.. Mko nyuma yake? Si mngemsaidia kuandamana ili aingie ikulu, maana ilibidi aondoke kinyonge huku akisema hakutegemea kama mtamwangusha vile

Kwani Iddy Amini alivyokuwa anaua watu huko Uganda, waganda waliandamana? Kitendo cha waganda kutokuandamana ni ishara kuwa walikubaliana na uongozi wa Idd Amini?
 
Niulize Wilaya ya Handeni nitakujibu.Kifupi sana hakuna mradi wa maji,hakuna airport,hakuna Chuo cha VETA,Hakuna hifadhi ya wanyama,hakuna jengo jipya la mahakama,hakuna jengo jipya la CRDB,Hakuna Hospital ya rufaa na utie hakuna si kama huyo Prof mjinga Wilaya ya Handeni ni kongwe kuliko Chato kwa zaidi ya miaka 30.
Si mlikuwa mnamroga Kigoda sasa mnalialia nini?
 
Yani huyu johnthebaptist na posti zake ukiziangalia wanao comments hakuna tofauti ya uyo wanayedai ana chuki na hayati JPM, na upande wa pili wa hao wanaojita wazalendo nao wanashindwa kutumia uzalendo wao kuondoa chuki kwa wenzao au mwenzao mwenye chuki.
 
Anaepeleka mambo ya ndani ni hao kina Tindi liso &co, sasa anaowapelekea wanamueleza ukweli , mtulie dawa ipenye
Lumumba practically ana mafanikio gani kwenye kupigania yale anayoyaamini zaidi ya kelele tu majukwaani?

Lissu amefanya vitu practical mfano alidai hakuna haki kwenye madini akaingia LEAT kutetea wakazi kwenye maeneo ya migodi.

Akaingia bungeni kupinga miswada mibovu ukiwemo muswada wa mapato ya gesi na mafuta.

Alipodai JPM ni dikteta alimface uso kwa uso kwenye kampeni zilizokua na mafanikio makubwa.

Aah alipoona utawala wa sheria unayumba akagombea Urais wa TLS ingawa walimvamia hta mwaka hakumaliza.

Ssa huyo PLO ni muongeaji tu je amefanya nni practical mfano kupigania pan africanism hapo kenya tu penye ukabila? Mbona kila post aliyopewa kusimamia amefeli?

Embu kuweni serious kidogo
 
Back
Top Bottom