Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Niulize Wilaya ya Handeni nitakujibu.Kifupi sana hakuna mradi wa maji,hakuna airport,hakuna Chuo cha VETA,Hakuna hifadhi ya wanyama,hakuna jengo jipya la mahakama,hakuna jengo jipya la CRDB,Hakuna Hospital ya rufaa na utie hakuna si kama huyo Prof mjinga Wilaya ya Handeni ni kongwe kuliko Chato kwa zaidi ya miaka 30.Ni mirafi ya Umma.
Tuwekee na ya Kilimanjaro!