PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Sasa utakuwa uwanja wa kupaki bodaboda
GBADOLITE2.jpg
 
Yote haya yanakuja baada ya kuona lissu kaburuzwa na kuambiwa ukweli wake aache hasira, inahitaji mtu anayejitoa akili sana kuyatetea anayoyafanya lissu kwa sasa ( kuzurura unamchafua marehemu ).
 
Rombo? Kibaha? Lushoto? Same? Mwanga? Hai? Bagamoyo? Handeni? Kilindi? Mikumi? Kila wilaya ina kiwanja cha ndege nilikuwa sijui.....
Nanyamba,Tandahimba, Ruangwa,Namtumbo,Misungwi,Sengerema,kakonko
 
Yote haya yanakuja baada ya kuona lissu kaburuzwa na kuambiwa ukweli wake aache hasira, inahitaji mtu anayejitoa akili sana kuyatetea anayoyafanya lissu kwa sasa ( kuzurura unamchafua marehemu ).
MATAGA lazima mtagishwe mayai
 
Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Kupigwa risasi ni jambo baya sana, lakini sio qualification ya kuwa kiongozi. Hili wengi hawapendi kulisikia. Lingine ambayo halipendwi kusikika ni kuwa Lissu anaoneka ni mtu arrogant sana lakini hana power. Akiwa ni hivyo vyote viwili kwa pamoja tunaweza kutafutana hapa!
 
Kama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.
Lissu ni habari nyingine na siyo Tanzania bali dunia mzima
 
Back
Top Bottom