King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sasa utakuwa uwanja wa kupaki bodaboda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utakuwa uwanja wa kupaki bodaboda
PLO Lumumba anatema yai si mchezo!Na mwenzake johnthebaptist wote kiingereza kwao ni adhabu kubwa
Shaka Ssali na siyo Shaka Zullu na Tundu Lissu na siyo Tindu Lissu.
Kwani uwanja wa ndege ni mali binafsi na upo kwenye mirathi ya marehemu?!?Uwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?
Huyo jamaa LUMUMBA Hana Akili
Nambie wewe ukweli imejengwa lini?Wacha kudanganya watu wewe
Nanyamba,Tandahimba, Ruangwa,Namtumbo,Misungwi,Sengerema,kakonkoRombo? Kibaha? Lushoto? Same? Mwanga? Hai? Bagamoyo? Handeni? Kilindi? Mikumi? Kila wilaya ina kiwanja cha ndege nilikuwa sijui.....
Hapo ni kwa Maboutu ssesseko kuku
MATAGA lazima mtagishwe mayaiYote haya yanakuja baada ya kuona lissu kaburuzwa na kuambiwa ukweli wake aache hasira, inahitaji mtu anayejitoa akili sana kuyatetea anayoyafanya lissu kwa sasa ( kuzurura unamchafua marehemu ).
Wamemuelewa MATAGA wenzakemuhimu tumemuelewa
Prof Lumumba kafika hadi Chato!
Aitoe wapi maana hiyo akili ya kuelewa kinacho zungumzwa hanaWeka hoja yake ya huyo lumumba ambayo imekuvutia afu tuipime
Nakuona ulivyo vimba kwa hasira kuona jinsi kirus wenu anavyo pigwa za shingo na mh Lissuaibu hii
Lissu kaaibika
Hapo ni kwa Maboutu ssesseko kuku
Tatizo lako huwa unakuwa kama unaona mist wakati wa kuandikaUwanja wa ndege kila wilaya upo!
Wewe umepona lini?LISSU BADO NI MGONJWA,WA MWILI NA 'SAIKOLOJIA'. DON'T LEAN ON HIM...!
Kupigwa risasi ni jambo baya sana, lakini sio qualification ya kuwa kiongozi. Hili wengi hawapendi kulisikia. Lingine ambayo halipendwi kusikika ni kuwa Lissu anaoneka ni mtu arrogant sana lakini hana power. Akiwa ni hivyo vyote viwili kwa pamoja tunaweza kutafutana hapa!Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Ukiona mtu anaongea maneno kama hayo ujue anatafuta watejaNa wewe unatamani upigwe ya tako????
Lissu ni habari nyingine na siyo Tanzania bali dunia mzimaKama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.