Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Nyie... Nyie..Acha hayo mambo[emoji2957]Uwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie... Nyie..Acha hayo mambo[emoji2957]Uwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?
Serikali ya JPM ingeweza kushughulikia suala lake endapo isingeshutumiwa kwamba ilihusika, hata kama wangekamatwa Watuhumiwa bado wasingeamini, wangesema ni changa la macho.Nachoona humu, wengi wenu hamkusikiliza mjadala ule ama kwa sababu ya Lugha au hamkua na access. Lissu anatakiwa ajifunze kutofautisha personal conflict of interest Vs public interest. Ni kweli ana haki ya kuilaum serikali ya Hayati JPM kwa namna ilivyoshughulikia suala lake la kumiminiwa risasi. Hata hivyo, Kuna Mambo anapotakiwa kuyaeleza anapaswa kusahau kwa muda shambulio lake, ili aeleze akiwa neutral. Kinyume chake, anapinga hadi vitu vinavyoonekana kwa macho. Apunguze hasira na mihemuko, arudi nyumban tushirikiane kuinua uchumi, kulinda Image, usalama na umoja na mshikamano wa Taifa.
Nani kasema hivyo au hiyo mihemuko ni yako mimi nilikuwa namuuliza niliyemquote au hukupitia msingi wa swali?Kwa hiyo uwanja wa ndege ni wa Magufuli? Watanzania mfike sehemu muwe waungwana siyo kuleta mihemuko ya kisiasa.
Haya, umeshinda mkuu, ngoja niingie mzigoni kutafuta mkate.Nani kasema hivyo au hiyo mihemuko ni yako mimi nilikuwa namuuliza niliyemquote au hukupitia msingi wa swali?
Sio walifeli kuwasha mashine ya mgonjwa kusukuma damu hadi akafariki kwa maumivu vile?Pale POLISI walifeli saana. Ilitakia mission iishe mapema tu.
Ana uhuru huo ambao ndio wapinzani wanaupigania..Nilijua Prof atamsifia Jpm.
..lakini nadhani leo amepitiliza ktk kusifia.
Acha mitazamo ya ajabu! Unafurahi mtu wa nje kuisemea nchi yako rafiki? Tumefika pabaya. Kwanza lengo hasa la majadiliano halikuwa Kama watu wanavyofikiri. Vyombo vya nje vimelenga kuichafua Tanzania kwa kuonyesha hatuna uhuru na ndio maana hakuna hata wa kuisemea nchi.Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
ulifuatilia hiyo talk namna alivyotwist maneno yake kuhusu mtazamo wa Magufuli kudeal na corona? hakuna ujuaji Prof ni die hard wa Jiwe na na Jana kwenye talk kauli yake mwenyewe aliitwist katika kumtetea hayatiAcha ujuaji mara ngapi Plo ameenda kinyume na Magufuli, fuatilia mitazamo yake kuhusu korona
Alichosema ndio ukweli, penye ukweli husema
Zaidi ya kunywa kahawa tu ktk ikulu yetu, akipalilia njia ili aalikwe akanywe tena na SSH.Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
HahahaShaka Ssali na siyo Shaka Zullu na Tundu Lissu na siyo Tindu Lissu.
Sio kwamba risasi zimemfanya kuwa na chuki bali hilo tukio limemuweka wazi Tundu Lissu kuonekana ni mtu wa aina gani endapo pale atapata power,kuna mambo walikuwa wanafanana Lissu na Magufuli.Labda zile risasi 16 zimesababisha awe na chuki, waza ingekuwa wewe ndio umepigwa risasi zote zile kwa mazingira kama yale ungekuwaje? No matibabu no ubunge
Wewe unamchukia sababu unaangalia political liberties, kuna wengine watamkumbuka kama Rais aliyefanikiwa sana kuleta mageuzi ya miundombinu nchi hii..so wewe unafurahia utawala wa JK uhuru wa kupiga domo tulipewa huki nchi inaporwa na wazungu? Is that what you want? Kuhusu upendeleo ni ujinga kufikiri hivyo...angalia nchi imejengwa kiasi gani,? Alikuwa ana mapungufu yake ndio lakini ukweli nchi amejitahidi kuijenga.Huo ukabila wenu ndio maana hata Nyerere aliwakataa msipewe madaraka makubwa nchi hii.
Huyo Jiwe anafahamika kumilili mahoteli huko kwao hivyo msimtetee.
Nyie wanafki tu kazi kumshabikia mitandaoni akiwaambia muingie barabarani wote mnapuuza.
Bustard like youIna màana Dodoma ni chato napo? Kunakojengwa bwawa la umeme ni chato? Ina maana kama chatO kulihitaji maboresho ya huduma asingepeleka sababu kuna watu mtatumia hilo kama mtaji wa kisiasa kumchafua. Chademans are silly bastards