PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Nachoona humu, wengi wenu hamkusikiliza mjadala ule ama kwa sababu ya Lugha au hamkua na access. Lissu anatakiwa ajifunze kutofautisha personal conflict of interest Vs public interest. Ni kweli ana haki ya kuilaum serikali ya Hayati JPM kwa namna ilivyoshughulikia suala lake la kumiminiwa risasi. Hata hivyo, Kuna Mambo anapotakiwa kuyaeleza anapaswa kusahau kwa muda shambulio lake, ili aeleze akiwa neutral. Kinyume chake, anapinga hadi vitu vinavyoonekana kwa macho. Apunguze hasira na mihemuko, arudi nyumban tushirikiane kuinua uchumi, kulinda Image, usalama na umoja na mshikamano wa Taifa.
Serikali ya JPM ingeweza kushughulikia suala lake endapo isingeshutumiwa kwamba ilihusika, hata kama wangekamatwa Watuhumiwa bado wasingeamini, wangesema ni changa la macho.
 
Kwa hiyo uwanja wa ndege ni wa Magufuli? Watanzania mfike sehemu muwe waungwana siyo kuleta mihemuko ya kisiasa.
Nani kasema hivyo au hiyo mihemuko ni yako mimi nilikuwa namuuliza niliyemquote au hukupitia msingi wa swali?
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Acha mitazamo ya ajabu! Unafurahi mtu wa nje kuisemea nchi yako rafiki? Tumefika pabaya. Kwanza lengo hasa la majadiliano halikuwa Kama watu wanavyofikiri. Vyombo vya nje vimelenga kuichafua Tanzania kwa kuonyesha hatuna uhuru na ndio maana hakuna hata wa kuisemea nchi.

Pili,vimeamua kuonyesha ulimwengu kuwa watanzania ni waongo na wapika data ndio maana vyombo hivyo vimeamua kushirikiana na majirani zetu ambao wanatufahamu vyema. Too sad.

Nchi zinazojitambua zingejitokeza na kumkana mtu wa nje kuwa msemaji wa serikali na kujipachika uraia wa nchi husika. Nashangaa sana sisi watanzania kusapoti udhalilishaji huu.

Kenyans wanatuona wapuuzi sana. Jaribu kuisemea Kenya uone hata Kama unaisifia. Utaona watakavyokucharukia. We have become the laughing stock of outsider brother.

Ukisikiliza vizuri utagundua PLO hakuwa anasifu Bali kukejeli kwa njia ya kukashifu. Hata Tundu alikuwa anamwelewa. Ile ni mbinu yetu sisi wanasheria. WAKE UP!!!
 
Acha ujuaji mara ngapi Plo ameenda kinyume na Magufuli, fuatilia mitazamo yake kuhusu korona
Alichosema ndio ukweli, penye ukweli husema
ulifuatilia hiyo talk namna alivyotwist maneno yake kuhusu mtazamo wa Magufuli kudeal na corona? hakuna ujuaji Prof ni die hard wa Jiwe na na Jana kwenye talk kauli yake mwenyewe aliitwist katika kumtetea hayati
 
Yaani PLO kufika Chato, Mwanza na Dar ndiyo anadai anajua Tanzania. Aende huko kwa akina Mbukweni, Jimbo Ia Kibajaji alafu aseme tena kuwa CCM inatumia rasilimali vizuri kuwaletea maisha bora Watanzania.
 
Sawa hamfikii labda (ila robo, nusu, robo tatu)? Anyway hata kama ni masikini ila alivyopata / alivyowekeza / alivyofanya huko vilifuata utaratibu ?

Sababu kutofuata utaratibu ni ufisadi na ufujaji wa kodi za watu (techinically fisadi ni fisadi tu no matter how small)
 
Wampeleke huyo Lissu hospitali sasa baada ya ile interview ya jana seriously huyo mtu anaanza kuwa delusional.

Lissu anaamini kabisa Magufuli angepelekwa ICC as if watu wote duniani ni kama nyumbu wanaomshangilia bila ya kuelewa namna mashtaka yanavyofunguliwa.

For some reasons amejiaminisha kabisa without doubt Tanzania ilikuwa imetengwa na international community including our neighbors, hata sijui kwa kutumia ushahidi gani.

Huyo mtu alipofikia sasa kwenye maradhi ya akili ni hatua za hatari. Politics aside Lissu is very very sick mentally.
 
Labda zile risasi 16 zimesababisha awe na chuki, waza ingekuwa wewe ndio umepigwa risasi zote zile kwa mazingira kama yale ungekuwaje? No matibabu no ubunge
Sio kwamba risasi zimemfanya kuwa na chuki bali hilo tukio limemuweka wazi Tundu Lissu kuonekana ni mtu wa aina gani endapo pale atapata power,kuna mambo walikuwa wanafanana Lissu na Magufuli.
 
Huo ukabila wenu ndio maana hata Nyerere aliwakataa msipewe madaraka makubwa nchi hii.

Huyo Jiwe anafahamika kumilili mahoteli huko kwao hivyo msimtetee.
Wewe unamchukia sababu unaangalia political liberties, kuna wengine watamkumbuka kama Rais aliyefanikiwa sana kuleta mageuzi ya miundombinu nchi hii..so wewe unafurahia utawala wa JK uhuru wa kupiga domo tulipewa huki nchi inaporwa na wazungu? Is that what you want? Kuhusu upendeleo ni ujinga kufikiri hivyo...angalia nchi imejengwa kiasi gani,? Alikuwa ana mapungufu yake ndio lakini ukweli nchi amejitahidi kuijenga.

Kuhusu hayo maneno ya Nyerere sidhani kama yana ukweli wowote and rumours says alisema kuhusu wachaga na wahaya na hata kama aliwasema nchi haiwezi kosa viongozi wazuri kisa ukabila.

Na kuhusu kanda ya ziwa yani haiepukiki kwenye siasa za nchi hii..kuna kitu kinaitwa Tyranny of number..hauwezi wachukia watu ambao ndio wana kura ya turufu kwenye siasa..ukishika kanda ya ziwa umeshika nchi...na sio kanda ya ziwa tu, hawa watu wapo katavi, kigoma, morogoro, Rukwa..so kama ni mwanasiasa unatakiwa kuwa makini sana na siasa zako.

Nakukumbusha chadema mlivyo manage kuishika Lake zone..unakumbuka CCM walivyohaha mpaka kuja na jina la Pombe? Hawakuwa na namna zaidi ya kuwanyang'anya tonge mdomoni.
 
Nyie wanafki tu kazi kumshabikia mitandaoni akiwaambia muingie barabarani wote mnapuuza.

Hakukuwa na ulazima wa kuingia barabarani watu wapoteze maisha dhidi ya yule ibilisi, tulichofanya ni kuongea na Mungu ndani ya miezi sita ibilisi asiwepo kuendelea kumwaga damu za wananchi. Na kweli leo hii ibilisi yuko motoni, anatoa mahesabu ya mauaji aliyofanya kwa uchu na kiburi cha madaraka.
 
Ina màana Dodoma ni chato napo? Kunakojengwa bwawa la umeme ni chato? Ina maana kama chatO kulihitaji maboresho ya huduma asingepeleka sababu kuna watu mtatumia hilo kama mtaji wa kisiasa kumchafua. Chademans are silly bastards
Bustard like you
 
Back
Top Bottom