PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Chato ni masikini kweli ila tayari kulikuwa na kamchakato kalikokuwa kanandelea ka kumtengeneza Mobutu mwingine.... sema Mungu ni fundi akamuwahi!!
Eti tupen mkoa charto jibu likatoka 'pumzikeni Tz cyo chato tu'[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
PLO alienda Chato kufanya nini?

Kuvuta mpunga wa PR, au?
 
Huyo mama hata mwezi hana hivyo bado sana ila inaonekana huyu anawajulia vizuri haongei kwa ukali wala nini ila atawatia sana stress zaidi ya mtangulizi wake.
Na ww ukiwemo maana haichagui hyo
 
Huyo mama hata mwezi hana hivyo bado sana ila inaonekana huyu anawajulia vizuri haongei kwa ukali wala nini ila atawatia sana stress zaidi ya mtangulizi wake.
Mf:CCM mna bando zenu? Au sote kifo cha mende? Njibu.
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Tunahangaika mno na maoni ya watu kiasi kwamba mpaka inakera. Kila mtu ana mtazamo wake. Nilienda Uingereza na niliishi North London kwa miaka 3 na niliona ni mji mzuri (kwa mtazamo wangu), lakini nilikutana na baadhi ya watu waliokuwa wakiuponda. Nani kati yangu na wao alikuwa sahihi kuhusu North London: mimi au wale waliokuwa wakiuponda? Kwa mtazamo wangu - mimi nilikuwa sahihi na wao walikuwa sahihi kwa sababu nilikuwa na vigezo vyangu na wao walikuwa na vigezo vyao. Kwa hiyo, mtu anapotoa mawazo au anapokuwa na perception fulani ya kitu he's not wrong simply because he/she's criticising and he/she's not right simply because he/she's praising and vice versa.
 
Ivi kaburi lilitengenezwa mda gani maana mi nlishangaa kuona ghafla liko tayari na tiles
 
Umemsikiliza mwenzako Paschal Mayala?
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
 
Hapo zote naon ni za Afrika cjaona kigeni apo, afu kweny izo jumuiya zako wamekomalia madarakani sasa huoni kama ni ushuzi?

Huko ni kukumbatia neocolonialism bila kujitambua. Mabeberu hawakutuma election monitors mwaka 2020 na ndiyo maana kauli zao hazikusema uchaguzi haukuwa huru na wa haki bali zilisema walikuwa concerned juu ya madai ya uwepo wa widespread irregularities katika uchaguzi.

Sasa, kama sio inferiority complex, unawezaje kuona kauli ya hao mabeberu (ambao hawakutuma hata election monitors) kuwa inaaminika zaidi kuliko reports za jumuiya zetu za Africa zilizokuwa na election monitors on the ground?
 
Wazungu hawajawah kuiteka Tz na kupora mali mnawakabidh wenyew.

That’s exactly what your man is craving. Uchumba wa Lissu na hao wazungu usingeweza kuiacha salama endapo Lissu angeshinda uchaguzi. Bahati nzuri sisi wenye mapenzi ya dhati na hii nchi tunamjua vizuri na tulitimiza na tutaendelea kutimiza wajibu wetu kuhakikisha nchi haiangukii kwenye mikono isiyokuwa salama (ya Lissu)!
 
Mf:CCM mna bando zenu? Au sote kifo cha mende? Njibu.
Sasa hilo ukawaulize ccm maana sio ccm hivyo sina majibu maana inawezeka ikawa wana bando zao.

Kikubwa hapa ni kujitia stress kitu ambacho mie sina.
 
Back
Top Bottom