PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Lumumba practically ana mafanikio gani kwenye kupigania yale anayoyaamini zaidi ya kelele tu majukwaani?

Lissu amefanya vitu practical mfano alidai hakuna haki kwenye madini akaingia LEAT kutetea wakazi kwenye maeneo ya migodi.

Akaingia bungeni kupinga miswada mibovu ukiwemo muswada wa mapato ya gesi na mafuta.

Alipodai JPM ni dikteta alimface uso kwa uso kwenye kampeni zilizokua na mafanikio makubwa.

Aah alipoona utawala wa sheria unayumba akagombea Urais wa TLS ingawa walimvamia hta mwaka hakumaliza.

Ssa huyo PLO ni muongeaji tu je amefanya nni practical mfano kupigania pan africanism hapo kenya tu penye ukabila? Mbona kila post aliyopewa kusimamia amefeli?

Embu kuweni serious kidogo
Hivi hapa tunaongelea nini ? Tunaongelea tindo liso amefanya nini ? Lumumba amefanya nini ? Au hayati John pombe Magufuli Magufuli Simba wa Africa , Jemadari mkuu alieipigania nchi yake dhidi ya mafisadi , walafi na mabeberu , ongeza umakini braza, Mungu amlaze mahali pema peponi Hayat Magufuli .
 
Hivi hapa tunaongelea nini ? Tunaongelea tindo liso amafanya nini ? Lumumba amefanya nini ? Au wanamuongelea hayati John pombe Magufuli Magufuli Simba wa Africa , Jemadari mkuu alieipigania nchi yake dhidi ya mafisadi , walafi na mabeberu , ongeza umakini braza, Mungu amlaze mahalo pema peponi Hayat Magufuli .
Najaribu kuonyesha nani ama credibility ya kumzungumzia The Late JPM. Je ni mpiga kelele wa Kenya aliyeshindwa kila alilofanya maishani au Mwanasiasa aliyekua bungeni na JPM miaka 5 na kupambana naye kwenye Urais??

Huyo PLO huko Kenya ni kituko tu nashangaa TZ mnamuona dhahabu sana
 
Mwenyezi Mungu Mkubwa kasikia vilio vya Watanzania wengi na hivyo kutunusuru Watanzania na udhalimu na dhuluma za kutisha.
Chato ni masikini kweli ila tayari kulikuwa na kamchakato kalikokuwa kanandelea ka kumtengeneza Mobutu mwingine.... sema Mungu ni fundi akamuwahi!!
 
Bwashee Tindo naona unammudu Ndugulile maana bado unadunda.

Mmawia kibando hali ni tete yaani tia maji tia maji!
Niko huku jukwaani miaka 10 sasa, sijawahi kutetereka hata kipindi cha siasa chafu za Magu. Na siwezeshwi na yoyote.
 
Nani kakwambia anataka kumuiga kwani Jiwe kamuiga mtu? huyo mama na yeye anakuja na mfumo wake. Sasa kama Jiwe tu umemwita Ibilisi ungekuwa huko Rwanda ungemwita nani Kagame?
Kwani Kagame na jiwe wana tofauti gani labda?
 
Jiwe hakumfikia Kagame wewe,unafikiri Lissu ndio angekuwa kwenye utawala wa Kagame angekuwa bado mzima hadi sasa?

Kwani huyo Kagame kaua watu wote huko Rwanda? Hata huyo Lisu si ni Mungu tu. Na cdm wangekosea wampeleke muhimbili leo hii asingekuwepo.
 
Fikra na tabia za udikteta za Mabutu ndiyo zile zile alizokuwa nazo Mzee Meko - na kama angetawala next 10 yrs nafikiri angeweza hata kuzidi mobotu!!
 
STRAIGHT TALK AFRICA/VOA

I keep wondering what would have been the response from these two if the roles were reversed!
Just imagine if what happened to Lissu had happened to Lumumba in broad daylight in Nairobi..!
Imagine if PLO had 16 bullets pumped into him and had been flown to Dar es Salaam for treatment...!
Imagine how PLO, having survived the attempt on his life, might have responded to this interview...!

PLO's love of Magufuli reminds one of a famous Swahili saying...mpenda chongo huita kengeza!
Imagine if Shaka Ssali had then put the same question to both...sadly he never did so we will never know!
Did PLO ever visit Lissu while in hospital in Nairobi? I wonder if Lissu would have done so in Dar es Salaam!
Did PLO ever wonder about why, what and how Lissu was attacked? Does PLO remember his countrymates, Paul Mboya, Robert Ouko?

Questions, questions, questions...
 
Kwani huyo Kagame kaua watu wote huko Rwanda? Hata huyo Lisu si ni Mungu tu. Na cdm wangekosea wampeleke muhimbili leo hii asingekuwepo.
Ndio nakwambia sasa Kagame hanaga mchezo angekuwa ameshamalizana nae kitambo sana,Kagame yupo hivyo toka hata Jiwe ajafikiria kugombea urais ila hadi leo yupo halafu et umfananishe na Jiwe.
 
Ndio nakwambia sasa Kagame hanaga mchezo angekuwa ameshamalizana nae kitambo sana,Kagame yupo hivyo toka hata Jiwe ajafikiria kugombea urais ila hadi leo yupo halafu et umfananishe na Jiwe.

Tofauti yao pekee ni muda waliokaa madarakani, lakini kwa muda mfupi, jiwe alifikia tabia zote za Kagame. Na kama sio Mungu kuamua kufanya mabadiliko bila kumwaga damu, jiwe alikuwa anaenda kuwa mbaya kuliko Kagame.
 
Tofauti yao pekee ni muda waliokaa madarakani, lakini kwa muda mfupi, jiwe alifikia tabia zote za Kagame. Na kama sio Mungu kuamua kufanya mabadiliko bila kumwaga damu, jiwe alikuwa anaenda kuwa mbaya kuliko Kagame.
Kwahiyo Mungu hamuoni Kagame ila kamuona Jiwe tu? vitu vyengine unaongea kihisia sana kinyume na uhalisia, yani Lissu angekuwa ndio raia wa Rwanda basi Kagame angetangaza wazi kabisa kwamba atamshughulikia maana angekuwa na kila sababu ila sio Jiwe aliyemuachia Lissu arudi na kumpa ulinzi kabisa na kisha kumuachia arudi tena nje ya nchi.
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo kilaza Lumumba atulie Kenya asitafute umaarufu tz
 
Anatumia uhuru wake wa kuongea!
Asitafute umaarufu kwa asiyoyajua vyema!! Huyu mnamsifu lakini sijaona point zake za msingi zaidi ya kumsifu jamaa aliepora wafanyabiashara fedha kinguvu,kunyima wafanyakazi fair remuneration,kunyang'anya wakulima ruzuku na kutumia fedha hizo kujengajenga!! Atoe ujingawake hko
 
Chato kule hamna kitu, ni chuki Tu za watu, kule cha maana zaidi ni hospital
Airport, Ofisi za TRA, Soko la madini, uwanja wa mpira, mbuga ya wanyama. Hivyo vyote wewe hujaviona chato.
 
Back
Top Bottom