PLO Lumumba: Wazungu wanaichukulia Afrika kama Zoo. Hawajali utu wa watu wa Afrika

PLO Lumumba: Wazungu wanaichukulia Afrika kama Zoo. Hawajali utu wa watu wa Afrika

hakuna muafrika anaempenda wazungu asilani.....kuinafik nafiki tuu...ila tujiulize.....tuna hata kiwanda hata cha kutengeneza CHEREHANI.... ambazo washenzi wazungu walituletea ili tuzibie viraka nguo zetu....tunapozungumzia viwanda....rudia tena "viwanda".....unamzungumzia mndu msungu mangi....umicho mndu....sorry nimeingiza kishaka kdg labda utanielewa........kwa kifupi tuu tujiulize......tunawezaje wakati hao wasomi wote ni mapaghala ya siasa....vijana wapi anaowazungumzia........tuchape kazi watoto wetu wapate maisha bora.....
 
Halafu kuna mtindo wa wazee 'wazalendo' kulaumu vijana eti hawajitumi, siyo wazalendo, yada yada, lakini hawa wamepewa miaka zaidi ya sitini na wazungu wanaowalaumu na wameshindwa kututoa kwenye umaskini. Wameiba, wamemismanage, wamefanya ukabila na ufala mwingine wote wa dunia hii halafu wanalaumu vijana na wazungu.

Hakuna uzalendo bora kama kuitoa nchi yako kwenye umaskini, mengine ni porojo zisizo na maana.
Lakini wanachozungumza kina ukweli, ushauri huwa haupopolewi ni hivi: vijana wengi wa kiafrika hatujui matumizi chanya ya WAKATI na RASILIMALI.

Mfano ona vijana wengi wa ki-Tanzania wanachopost na kufuatilia kwenye intaneti mostly ni umbea wa vitu vyepesivyepesi visivyo na manufaa vijana wa kiafrika wameshindwa hata kuitumia intaneti kutengeneza fursa pana za masoko kama alibaba na amazon nakadhalika mpaka hao kina alibaba wanakuja kutuuzia bidhaa za kwao kwa kutumia platforms za kwao (na kuna kijana kahitimu IT analia hana ajira);

Vijana wa Afrika tumekimbia mashamba wote tupo mijini na huku mijini hatuna kazi za maana lakini rasilimali ardhi tumeiacha huko ambayo inahitaji mtaji kiasi tu ili kutanuka vijana wa kiafrika wengi tunaamini umaskini wetu unatokana na serikali which is not true bali wengi wetu tumeamua kuwa lazy na kuukalia ubunifu

Vijana wa sasa wa kiafrika tuna mengi ya kujilaumu sisi wenyewe. Kijana wa Kiafrika anatumia Tsh 50000 kwa wiki 5 ku surf intaneti ajue umbea badala ya kutafuta fursa. TUJILAUMU; TUSILAUMU MTU
 
Wazungu hawana msaada wowote kwa Afrika, PLO yuko sahihi. Fanya analysis vizuri utagundua anachokisimamia kina ukweli mwingi. Whites ndio waliochangia Afrika kushindwa kuendelea.

Wazungu ukiwauliza KWANINI AFRIKA NI MASKINI wanakupa sababu nyepesi eti sababu ya idadi kubwa ya watu(Mbona Eastern Countries kama China na India population ni kubwa na ziko developed,mbona hiyo USA yenyewe iko na population kubwa na iko developed?)

Wazungu ndio walioleta sera za kimataifa ambazo hazina urafiki na nchi maskini za Kiafrika...tazama masharti yao ya ushirikiano wa kiuchumi hayana nia njema mostly!!!
Idadi kubwa ya watu wapo sawa, jukumu la kulea lipo kwa wazazi Sasa Kama familia inawatoto isiyoweza kuwalea na kufanikisha watimize ndoto zao na wao Walee vizazi vyao tayari inakuwa lawama kwa jamii hata wana dini wanaambiwa Asiyetunza wa kwake ameikana imani tena ni Kama mchawi Sasa idadi ya familia ikiwa kubwa hutaweza kuitunza vyema hivyo wazungu wapo sawa kuwashauri kuhusu idadi Ili ngazi za familia ziweze kujitegemea zenyewe na siyo kutegemea msaada nje ya familia kitu kitachokwamisha mipango ya kila mtoto kutumiza malengo ya kuwepo duniani.
 
Lakini wanachozungumza kina ukweli...ushauri huwa haupopolewi ni hivi: vijana wengi wa kiafrika hatujui matumizi chanya ya WAKATI na RASILIMALI...mfano ona vijana wengi wa ki-Tanzania wanachopost na kufuatilia kwenye intaneti mostly ni umbea wa vitu vyepesivyepesi visivyo na manufaa...vijana wa kiafrika wameshindwa hata kuitumia intaneti kutengeneza fursa pana za masoko kama alibaba na amazon nakadhalika mpaka hao kina alibaba wanakuja kutuuzia bidhaa za kwao kwa kutumia platforms za kwao (na kuna kijana kahitimu IT analia hana ajira); vijana wa Afrika tumekimbia mashamba wote tupo mijini na huku mijini hatuna kazi za maana lakini rasilimali ardhi tumeiacha huko ambayo inahitaji mtaji kiasi tu ili kutanuka...vijana wa kiafrika wengi tunaamini umaskini wetu unatokana na serikali which is not true bali wengi wetu tumeamua kuwa lazy na kuukalia ubunifu.......vijana wa sasa wa kiafrika tuna mengi ya kujilaumu sisi wenyewe..........Kijana wa Kiafrika anatumia Tsh 50000 kwa wiki 5 ku surf intaneti ajue umbea badala ya kutafuta fursa. TUJILAUMU; TUSILAUMU MTU
Hapana hao wazee ndiyo wanasababisha vijana kuzubaa na kufanya uzembe. Fursa za kwenye mtandao wakati kuunda tu channel ya you tube unatakiwa kutoachela nyingi, kitu ambacho ni cha bure duniani kote. Kutengeneza blog na online Tv utoe hela za kutosha kisa wazee wanataka kumaintain mambo yalivyo.

Hawa wazee wameshindwa kuendana na dunia ya kisasa kwa kutengeneza futrsa A vijana kujiajiri, ni wazee hawa waliosababisha tumekuwa maskini baada ya miaka 60 ya uhuru halafu leo wanalaumu wazungu na vijana.
 
Westerners

Sawa jombaa
 
Wazungu hawana msaada wowote kwa Afrika, PLO yuko sahihi. Fanya analysis vizuri utagundua anachokisimamia kina ukweli mwingi. Whites ndio waliochangia Afrika kushindwa kuendelea.

Wazungu ukiwauliza KWANINI AFRIKA NI MASKINI wanakupa sababu nyepesi eti sababu ya idadi kubwa ya watu(Mbona Eastern Countries kama China na India population ni kubwa na ziko developed,mbona hiyo USA yenyewe iko na population kubwa na iko developed?)

Wazungu ndio walioleta sera za kimataifa ambazo hazina urafiki na nchi maskini za Kiafrika...tazama masharti yao ya ushirikiano wa kiuchumi hayana nia njema mostly!!!

Mwafrika akishindwa kujiletea maendeleo usingizia wazungu. Who is wazungu? Ina maana Asia, China, Dubai, South Korea, Malaysia, Vietnam hakuna wazungu? Kwanini matatizo yetu watupiwe wengine

Kwani Mzungu ndo anatuambia nunua ndege, V8 badala ya kununua matreka, au ndie anaewaambia watawala wa kiafrica waibe,wawe mafisadi, wauwe watu, wawe madikteta, wawe wakabila, wadini, nk.
 
Hawa maprof ndio wajinga waliopewa nafasi na viongozi wanafiki Africa.
 
PLO Lumumba ambae ni Mwanaumajimui maarufu wa Afrika anasema wazungu wanatumia jitihada kubwa kutunza Ndovu,Sokwe, Chui na wanyama wengine ambao wamo kwenye mapori ya Afrika ili wapate mahala pa kuja kupumzika lakini hawajali lolote kuhusu maslahi ya Afrika.

Anasema hivi karibuni watatuzuia kwenda huko kwao kwa sababu ya hizi COVID 19 nk anasema ni vema tubaki Afrika na tuijenge Afrika.

Nipo namsikiliza hapa youtube akihojiwa na Sahara Online TV jamaa ni mzalendo wa kweli wa Afrika.

Anasema vijana wa Afrika wametopea kushabikia masuala yasiyo na maslahi kwao na badala yake wamekuwa mashabiki wa vitu vyepesi visivyoleta tija kwao ndio sababu hatuendelei hasa vijana wa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.

MY TAKE:

Vijana tuamke tujenge Afrika na nchi yetu/zetu. Afrika ijengwe na Waafrika.View attachment 1734183
sijawai kuona watu wanaopenda afrika kama, JPM(R.I.P), PLO LUMUMBA, NA JULIAS MULEMA This 3 gentlemen are real africans.
 
sijawai kuona watu wanaopenda afrika kama ,JPM(R.I.P),PLO LUMUMBA ,NA JULIAS MULEMA .this 3 gentlemen are real africans.
Kabisa yaani yaani hawa ni wanaumajimui halisi
 
Hawa maprof ndio wajinga waliopewa nafasi na viongozi wnafiki Africa.
Huyu ni professor jembe ndio maana vyuo vikuu vingi Afrika humualika azungumze na vijana
 
Sahihi kabisa. Na taifa lisilowekeza kwenye elimu na utafiti na kuwekeza kwenye teknolojia, lisilololinda rasilimali zake litatawaliwa tu, ndio uhalisia wa historia ya mwanadamu.
Na huwezi endelea bila kuliwa KILA taifa si China, USA, nk bila kuliwa na taifa jingine
 
Na huwezi endelea bila kuliwa KILA taifa si china, USA,nk bila kuliwa na taifa jingine
Ukiliwa huwezi endelea. Rwanda inaendelea sababu inaila Congo huku congo ikiwa hoi.

Inahitaji mlane ndio muendelee. i.e kuwe na exchange.
 
Yeye ameifanyia nini Afrika? Waafrika tunaongea sana na hakuna tunachokifanya kwenye maendeleo ya ulimwengu
 
Yeye ameifanyia nini Afrika? Waafrika tunaongea sana na hakuna tunachokifanya kwenye maendeleo ya ulimwengu
Anachofanya ni kitu cha muhimu sana. Kuamsha na kuchochea fikra. Hakuna kazi ya muhimu kama hii. Natamani sana pia aandike mawazo yake yote haya katika vitabu japo sina uhakika kama vitasomwa.
 
Tukiviondoa vyama kama CCM tufikie mwafaka ishu zingine mbona ndogo tu

Leo hii hawa wahuni wametuingiza kwenye madeni ambayo hayalipiki
Hata ukiviondoa vyama kama CCM utakuja kushangaa hata hao wanaokuja nao wanafanya yale yale na hata utopolo zaidi. Try to think out of the box kidogo. Hata hao watakaokuja hawatadondoka kutoka mbinguni bali ni zao la mfumo na jamii ile ile

Actually jamii inawategemea wafisadike na wakijifanya wazalendo wataandamwa sana na mabeberu ya ndani na nje. Hata jamii yenyewe inaweza isiwaelewe. Ndiyo maana hata huko walikoweza kubadilisha vyama hapa Afrika, kwa kiasi kikubwa mambo bado ni yale yale tu. Mifumo bado ni ile ile. Mitazamo ya kijamii na falsafa jumuishi bado ni ile ile. Ngumu sana kujipambanua.

Na hili suala la kubadilisha mifumo iliyopo na kuingiza falsafa mpya katika utashi wa kitaifa siyo suala la siku moja. Ni process ya pole pole ambayo itachukua vizazi kadhaa. Huko walikofanikiwa ndivyo walivyofanya. Kama unategemea kufumba na kufumbua mabadiliko katika jamii yaje kwa sababu tu eti chama kipya kimeingia madarakani utakuwa disappointed sana tena na tena.

Lakini pia nadhani ni vizuri pia kubadilisha walaji...kwa sababu wakati mwingine hata zimwi lisilokufahamu linaweza kukukula lisikumalize!
 
Hata ukiviondoa vyama kama CCM utakuja kushangaa hata hao wanaokuja nao wanafanya yale yale na hata utopolo zaidi. Try to think out of the box kidogo. Hata hao watakaokuja hawatadondoka kutoka mbinguni bali ni zao la mfumo na jamii ile ile. Actually jamii inawategemea wafisadike na wakijifanya wazalendo wataandamwa sana na mabeberu ya ndani na nje. Hata jamii yenyewe inaweza isiwaelewe. Ndiyo maana hata huko walikoweza kubadilisha vyama hapa Afrika, kwa kiasi kikubwa mambo bado ni yale yale tu. Mifumo bado ni ile ile. Mitazamo ya kijamii na falsafa jumuishi bado ni ile ile. Ngumu sana kujipambanua.

Na hili suala la kubadilisha mifumo iliyopo na kuingiza falsafa mpya katika utashi wa kitaifa siyo suala la siku moja. Ni process ya pole pole ambayo itachukua vizazi kadhaa. Huko walikofanikiwa ndivyo walivyofanya. Kama unategemea kufumba na kufumbua mabadiliko katika jamii yaje kwa sababu tu eti chama kipya kimeingia madarakani utakuwa disappointed sana tena na tena.

Lakini pia nadhani ni vizuri pia kubadilisha walaji...kwa sababu wakati mwingine hata zimwi lisilokufahamu linaweza kukukula lisikumalize!
Hatuwezi kupoteza matumaini, mbona Botswana wameweza na wala hawalaumu Mabeberu.
 
Back
Top Bottom