Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Wapumbavu wa sisiemu wameshindwa hata kupanga mji cheki hiyo picha hsta na hicho kiwanje !kwanini viwanja visiwe SquareHabari wakuu.
Ni kwa mara nyingine tena nawaletea kazi kali kabisa hii yaani ya Moto balaa Kwa wale maboss wa kukaa karibu na Bahari.
Eneo linauzwa lipo karibu na barabara ya Barack Obama Sea View Upanga.
Sqm 2224
Title Deed
Price $4.3 Milion
Nipigie simu kama unahitaji nikupeleke au niunganishe na mwakalishi wako.
📱0754693556View attachment 3279138