Nahisi ni ulimbukeni tu.Hivi si mlishakatazwa kutoza bei katika pesa za kigeni Tanzania hapa?
Kwani mtu ukisema ni Bilioni 2 au 3 za Tanzania inakuwa hujafanya kitu sahihi?
Nahisi ni ulimbukeni tu.Hivi si mlishakatazwa kutoza bei katika pesa za kigeni Tanzania hapa?
Kwani mtu ukisema ni Bilioni 2 au 3 za Tanzania inakuwa hujafanya kitu sahihi?
Mkuu hiyo pesa ya kigeni inbadilishwa kuwa ya hapa nyumbani.Hivi si mlishakatazwa kutoza bei katika pesa za kigeni Tanzania hapa?
Kwani mtu ukisema ni Bilioni 2 au 3 za Tanzania inakuwa hujafanya kitu sahihi?
Mkuu ukiwa nazo mbona sio matumizi mabayaBarack mwenyewe ana taarifa juu ya mtaa wake? Haaah , naona hapo bei itasimamia kucha
Kila binadamu anachaguzi zakeSoko la real estate tanzania ni la uongo sana.
$4.3 Milion kwa lipi hapo masaki ? Hiyo pesa bora niipeleke London/New york nikapate return nzuri tu
Wash wash