Plot4Sale Plots for sale at Barack Obama Road Sea View

Wapumbavu wa sisiemu wameshindwa hata kupanga mji cheki hiyo picha hsta na hicho kiwanje !kwanini viwanja visiwe Square
 
Mkuu umeseheu hata mipaka ya Nchi haiko square
Mbona nyumba tunajenga Square...hiyo ndiiyo kazi ya akili yaani kuweka sawa mambo penye bonde painuliwe iwe na penye kilima pashushwe na penye mkwaluzo parainishwe sawa sawa na uhitaji na ufanisi na akili
 
Mbona nyumba tunajenga Square...hiyo ndiiyo kazi ya akili yaani kuweka sawa mambo penye bonde painful iwe na penye kilima pashushwe na penye mkwaluzo parainishwe sawa sawa na uhitaji na ufanisi na akili
Karibu nikupeleke ukaione sea view mkuu
 
Mbona nyumba tunajenga Square...hiyo ndiiyo kazi ya akili yaani kuweka sawa mambo penye bonde painful iwe na penye kilima pashushwe na penye mkwaluzo parainishwe sawa sawa na uhitaji na ufanisi na akili
Penye bonde "PAINFULL"
 
Alafu kuna pimbi humu akalazimisha eti bei za viwanja vya kariakoo viwe juu zaidi ya Oysterbay na masaki
 
Hicho kiwanja kaweke Tausi, chap tuu watu wanachukua
 
Mi nawaza ilikuwaje eneo kama hilo likawa na uwanja hadi leo?
 
Hivi si mlishakatazwa kutoza bei katika pesa za kigeni Tanzania hapa?
Kwani mtu ukisema ni Bilioni 2 au 3 za Tanzania inakuwa hujafanya kitu sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…