Plot4Sale Plots for sale at Barack Obama Road Sea View

Hivi si mlishakatazwa kutoza bei katika pesa za kigeni Tanzania hapa?
Kwani mtu ukisema ni Bilioni 2 au 3 za Tanzania inakuwa hujafanya kitu sahihi?
Mkuu hiyo pesa ya kigeni inbadilishwa kuwa ya hapa nyumbani.

Vipi hapo kuna shida Gani?
 
Soko la real estate tanzania ni la uongo sana.

$4.3 Milion kwa lipi hapo masaki ? Hiyo pesa bora niipeleke London/New york nikapate return nzuri tu

Wash wash
 
Soko la real estate tanzania ni la uongo sana.

$4.3 Milion kwa lipi hapo masaki ? Hiyo pesa bora niipeleke London/New york nikapate return nzuri tu

Wash wash
Kila binadamu anachaguzi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…