PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana.

Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'.

Hii ni kutafuta umaarufu wa kisiasa:

- Ameomba TAKUKURU wachunguze ilhali na yeye aneshatoa hukumu yake kuwa wamechoma nyaraka makusudi, tutegemee nini ktk uchunguzi wa PCCB.

- PM amesharudNganya mara kadhaa na la mwisho ni alipokurupuka huko Kagera kwa ajili ya. kujijenga kisiasa na kumpa sifa hewa kijana majaliwa. Yote kuficha mapungufu ya uokoaji.

- Susla labkutaka tumuonee huruma. Mama kisa anahangaika na kazi ngumu ya kutafuta fedha, mbona wako bize kupambana kujitejesha madarakani 2025?

- Iko wapi ripoti ya Soko la Kariakoo?

Wafuate taratibu za ajira, mamlaka za kiuchunguzi zifanye kazi na kuja na majibu sahihi, hatutaki majibu yao ya kisiasa kujjijenga kwa ajenda ya kutuonea huruma sisi. Kuna huruma gani wakat kodi ya Mafuta tu wameshindwa kutupunguzia.

NOBODY IS PERFECT HATA YEYE PM.
 
Ulitaka iwekwe hapa?
Sisis ndiyo walipa kodi mkuu. Serikali ilitujulisha kuwa inaunda tume. Ripoti ya tume imewekwa chini ya kapeti mpk leo. Na hakuna hatua zozote zilizchukuliwa.

Yasemekana mama alikutana na vigogo zaidi yake wakamtisha kuwa ukithubutu kutugusa utatwaliwa.

Serikali imechoka hii
 
We jamaa mwache afanye KAZI!

Unafikiri na yeye akiwa mpole kama NAMBA Moja nchi italiwa na mchwa hii!

Naona Baada ya kushindwa kumuingiza mtu wenu kwenye ukatelephone mmeanza kushambulia Mamlaka yake!

Tufanye kazi tujenge nchi,go go katelephone go!
 
Back
Top Bottom